Uwanja wa Mkapa: Yanga yashindwa kutamba uwanja wa nyumbani, yalazimishwa sare na Kagera Sugar

Hii mechi tukifungwa, kocha atahusika kwa asilimia zaidi ya 70! Amezingua kumuacha nje kiungo mkabaji kama Mukoko na kuwaanzisha viungo ambao si wakabaji wa kiwango cha Mukoko mfano huyu Zawadi Mauya.

Makosa mengi yanafanywa na mabeki kwa sababu ya udhaifu wa kiungo mkabaji. Zawadi Mauya anapuyanga tu uwanjani!
 
mmeanza vijisababu subirini mpira uishe
 
Back
Top Bottom