Uwanja wa Mkapa: Yanga yashindwa kutamba uwanja wa nyumbani, yalazimishwa sare na Kagera Sugar

Droo na Simba, Penalty
Nusu fainali Mapinduzi, Penalty
Fainali Mapinduzi, Penalty
Goli la kwanza Vs Kagera Sugar, Penalty

Kwani mmekuwa Penalties Football Club?
Yani hamshindi mpaka kwa Penalties?
Kwani Utopolo siku hizi mmekuwaje?
 
Kileleni Joto Limepanda..... Sema acha watambe na Unbeaten yao bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…