Wakati wa JPM kuna jambo lilikuwa linasuasua hapo Dodoma?Uwanja wao wenyewe wa Mohammed V haufikii huo. Halafu uwanja wa mpira hakitakiwi kuwa kipaumbele huko Dodoma kwa sasa bali miundombinu ya kisasa kuwezesha serikali ifanye kazi kwa ufanisi.
I am the state. Hawataki kusikia huu ukweliIsijekuwa alipewa akazihamishia miradi ya kuijenga Chato?
Kwa sasa uwanja wa Jamhuri unajitosheleza. Serikali ijenge mifumo imara ya mawasiliano na TEHAMA kuepusha watu kuhitaji kwenda Dodoma kufuata huduma za serikali.Wakati wa JPM kuna jambo lilikuwa linasuasua hapo Dodoma?
Uwanja wa Mpira ni mhimu mno hasa kipindi hiki ambacho Yanga inachanaj mbuga.
Kwa uandishi wa aina hii nastahili kujibizana na wewe kweli?Una toja gani? Usha wahi kuwaza Serikali iingile kato kutoa mikopo kwa Graduatevwalio jazana mitaani? Akili za ajabu sana hizi, Impact ya huo uwanja ni ipi kwa uchumi wa nchi?
Ombi lilimzidi uwezo, kwa hiyo mfalme akajikuta akikubali tu kwa kutoa jibu la kimtindo bila ya yeye kuridhia kutoka moyoni mwake. Kuwa ombaomba ni gharama, kwani mtu maskini huishia kusema ahadi ni deni. Nchi kama inakopa kila siku, inashindwa nini kufanya hivyo kwa ajili ya ujenzi wa uwanja huo!?Angalia hii Picha afu nambie iwapo mwamba angekuwa hai Dodoma pangekuwa pamefikia hatua gani?
Ujenzi huu ulitakiwa Kuanzia mara baada tu ya Ujenzi w msikiti wa BAKWATA pale Kinondoni. Mfadhiri alishaahidi kutoa pesa.. mfalume wa Morocco.
Ushauri wangu kwa Ikulu; Fuatilieni hii ahadi.
View attachment 2630021
Nchi ina watu wajinga sana. Wengi wanasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki.walijingishwa vibaya sana. Kumne kweli yule ngosha angetaka angetawala zaidi ya miaka 10 sema kabetri kalizima ghafulaq. AhahahahaKamfufue aje kujenga..... huo uwanja uliahidiwa tangia 2016 lakini kwa miaka yote haikujengwa mpaka Magufuli anakufa mwaka 2021 na ukaona ni sawa, leo hii ndio unakumbuka kuhoji
Msukule wa Chato
Ulishawahi kuiona bajeti ya miradi ya chato? Au japo kusikia tenda za zabuni zikitangazwa?Yule Mfalme Ni Janjajanja Nyingi Tu, Hakutoa Cash Yoyote
Alichotoa Ni Ile Cash Ya Msikiti Pale Kinondoni Nayo Pia Ndani Ina Ukakasi Kidogo
Isijekuwa alipewa akazihamishia miradi ya kuijenga Chato?
Tatizo lipo kwetu, amini usiamini.Wale nao ni matapeli kama matapeli wengine tu. Do not think that everyone is holier than thou.
Tatizo lipo kwetu, amini usiamini.
Mbona una hasira mkuu?!,kosa lake ni kumtaja tu jpm?,jifunze kuuficha udhaifu wako mkuu.Kwani mpaka useme flani angekuwepo. Hivi mlilogwa na nani Watanzania au huyo unaemsema yeye alikuwa na utofauti gani na wanadamu wengine. Kwani wewe unashindwa nini kufuatilia hizo pesa Uarabuni uje ujenge huo uwanja au na wewe umeshakufa. Kuamini kwamba bila mtu flani huwezi lolote ni uzwazwa wa kumuabudu binadam mwenzio. Unatakiwa kupaza sauti ili hayo unayotaka yatimie ila siyo kulalamika na kusema bora angekuwepo flani. Kwa hiyo Viongozi waliopo madarakani kwa sasa huoni wanayofanya au unataka huyo Mwarabu aitwe aje Tz kujibu kwa nini hajengi uwanja. Kumbuka hizo zilikuwa ahadi na pesa ni zake huwezi kumpangia. Km angekuwa ametoa pesa taslim na uwanja haujahengwa hapo ndiyo ungekuwa na nguvu ya kulaum na kutamani aliepita bora angekuwepo lakini siyo kwa ahadi hewa za Mwarabu. Tuache mahaba niue kwenye mambo ya kitaifa.
JPM angekuwepo ungekuwa umejengwa...Kwani mpaka useme flani angekuwepo. Hivi mlilogwa na nani Watanzania au huyo unaemsema yeye alikuwa na utofauti gani na wanadamu wengine. Kwani wewe unashindwa nini kufuatilia hizo pesa Uarabuni uje ujenge huo uwanja au na wewe umeshakufa. Kuamini kwamba bila mtu flani huwezi lolote ni uzwazwa wa kumuabudu binadam mwenzio. Unatakiwa kupaza sauti ili hayo unayotaka yatimie ila siyo kulalamika na kusema bora angekuwepo flani. Kwa hiyo Viongozi waliopo madarakani kwa sasa huoni wanayofanya au unataka huyo Mwarabu aitwe aje Tz kujibu kwa nini hajengi uwanja. Kumbuka hizo zilikuwa ahadi na pesa ni zake huwezi kumpangia. Km angekuwa ametoa pesa taslim na uwanja haujahengwa hapo ndiyo ungekuwa na nguvu ya kulaum na kutamani aliepita bora angekuwepo lakini siyo kwa ahadi hewa za Mwarabu. Tuache mahaba niue kwenye mambo ya kitaifa.
Msikiti wajengeweSema watanzania mna gubu sana sio wanaume sio wanawake
Ukipenda unapokea hupendi unaacha.Ni facts tu ziwekwe mezani, ukweli uwe bayana. Kwa hapa hatuhitaji imani.