Uwanja wa Mpira Dodoma Utagharimu Bilioni 310. Utabeba Watazamaji 32000

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
My Take
Bilioni 352 ni gharama ndogo ,Watazamaji wa Kukaa 32,000 tuu?

Bora tungejenga taratibu taratibu ila uwanja ambao walau utabeba Watazamaji 45,000 Kwa about 450BlnπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DGBA_VYO4-2/?igsh=cWhiZG1pMXZtZDE0


Pia soma Bilioni 286 kujenga uwanja Mpya wa 'Samia Suluhu Hassan Arusha Stadium' Kwa ajili ya AFCON 2027

Ilani: Mods badilisheni heading isomeke ,Uwanja wa Dodoma kugharimu Bilioni 352 na utakuwa na uwezo wa kuchukua Watazamaji 32,000 na sio 12,000

View: https://www.instagram.com/p/DGBQT34IpgK/?igsh=NTYwOXFrMzZ3dnpv
 
Uharibifu wa pesa na kuharibu jina jema la Rais wetu, Aibu na ni wizi tu !
 

..tunatumia Trillions kujenga viwanja vya mpira?

..Ni zaidi ya daraja la Kigongo-Busisi!!

..vipaumbele vyetu viko sawasawa?
 
Hela ndefu sana halafu uwanja mdogo hivi yaan uwanja km KMC billion 310 huu si utani wa ngumi
Kipeperushi Cha tbc online kinasema watu elfu 32,mleta habari anasema elfu 12... Ipi taarifa sahihi?
 
Mtoa mada, mbona nimeisoma hiyo Taarifa Kwa kuirejea, nimekuta ni watazamaji Elfu 32 waliokaa

Wewe hao Elfu 12 umeitoa wapi??

Anyways, huu ni Mwaka wa Uchaguzi

Kwahiyo huenda wakubwa wanatafuta hela za kushinda Uchaguzi Kwa kuongeza gharama za Ujenzi πŸ™Œ

Tusisahau "Kila mtu kula Kwa urefu wa Kamba yake"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…