Uwanja wa Mpira Dodoma Utagharimu Bilioni 310. Utabeba Watazamaji 32000

Typing error
 
Taarifa yako ina 12,000 ila kipeperushi cha tbc online kinaonyesha 32,000.
Ipi taarifa sahihi?
 
Masikini Tanzania bandari ya bagamoyo mafisadi waichukuaπŸ˜•
 

Attachments

  • 20250213_171101.jpg
    104.5 KB · Views: 1
Typing error,mods warekebishe
 
Pana wizi mkubwa sana watu wapo kwenye kujenga viwanja vikubwa vya kuingiza watu laki bado tunajengewa tandika mabatini dodoma ni jiji bunge wapo wanakenua tu!
 
Nadhani watakuwa wame koti bei Kwa Dola ,haya ndio madhara yake Kila mtu na ukokotozi wake
 
Nadhani watakuwa wame koti bei Kwa Dola ,haya ndio madhara yake Kila mtu na ukokotozi wake
Huenda, ndiyo maana nimesema Kuna haja Waandishi wa habari wawe wanapewa taarifa kamili ili kuwasaidia kuondoa hizo sintofahamu.

Baadhi ya Waandishi wengine huwa ni kama wanakuwa na Uelewa mdogo

Vyema wasaidiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…