Uwanja wa Mpira Dodoma Utagharimu Bilioni 310. Utabeba Watazamaji 32000

My Take
Bilioni 310 ni gharama ndogo ,Watazamaji wa Kukaa 32,000 tuu?

Bora tungejenga taratibu taratibu ila uwanja ambao walau utabeba Watazamaji 45,000.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DGBA_VYO4-2/?igsh=cWhiZG1pMXZtZDE0
View attachment 3235532View attachment 3235533View attachment 3235534View attachment 3235535View attachment 3235536View attachment 3235537View attachment 3235538View attachment 3235539

Pia soma Bilioni 286 kujenga uwanja Mpya wa 'Samia Suluhu Hassan Arusha Stadium' Kwa ajili ya AFCON 2027

Ilani: Mods badilisheni heading isomeke ,Uwanja wa Dodoma kugharimu Bilioni 352 na utakuwa na uwezo wa kuchukua Watazamaji 32,000 na sio 12,000

View: https://www.instagram.com/p/DGBQT34IpgK/?igsh=NTYwOXFrMzZ3dnpv

Nje ya mada.

Hivi inawezekana vipi mtu mmoja akawa na kazi mbili tofauti kwa wakati mmoja.

Hii inchi kweli ni ya wachache
 
My Take
Bilioni 310 ni gharama ndogo ,Watazamaji wa Kukaa 32,000 tuu?

Bora tungejenga taratibu taratibu ila uwanja ambao walau utabeba Watazamaji 45,000.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DGBA_VYO4-2/?igsh=cWhiZG1pMXZtZDE0
View attachment 3235532View attachment 3235533View attachment 3235534View attachment 3235535View attachment 3235536View attachment 3235537View attachment 3235538View attachment 3235539

Pia soma Bilioni 286 kujenga uwanja Mpya wa 'Samia Suluhu Hassan Arusha Stadium' Kwa ajili ya AFCON 2027

Ilani: Mods badilisheni heading isomeke ,Uwanja wa Dodoma kugharimu Bilioni 352 na utakuwa na uwezo wa kuchukua Watazamaji 32,000 na sio 12,000

View: https://www.instagram.com/p/DGBQT34IpgK/?igsh=NTYwOXFrMzZ3dnpv

Yaani kama naona wagogo wanakulana hadharani kama wafanyavyo kwenye vituo vya mwendokasi Dar.
 
Wale masikini wa tunataka serikali itufanyie hivi sijui vile, mtasubiri sana mpaka nyerere afufuke....
 
Yes wanajenga sekta binafsi

..nani analipa wakandarasi?

..nani atamiliki uwanja baada ya ujenzi kukamilika?

..siafiki serikali kuingia gharama za kujenga na kumiliki uwanja kwa gharama kubwa kama tulivyohabarishwa.
 
Serikali inalipa

Hicho unachotaka hakipo Tena muache ndoto za mdhana

Hawa wafanyabiashara wetu ambao hata vyoo tu stendi hawawezi kujenga?
 
Wangekua 45000 ingependeza, 12000 ni wachache sana
Alfu 32 wachache? alfu 32 zaidi ya kutosha viwanja unajaza wakicheza wakubwa tu hiyo 32 alfu hupati labda mkutano wa CCM. Kiwanja la alfu 45 au 60 la nini sawa na kununua bus nyumbani wakati IST inawatosha. Viwanja vidogo ni vizuri kuliko maviwanja makubwa kuya maintain gharama kubwa. wenzetu team kubwa ulaya kila team inajenga ukubwa kutokana na fan base yao, team kubwa wanaenda 60 sababu wanajaza na wengine 30 sababu wanajaza. Uwanja wa alfu 32 ni perfect kabisa.
 
..nani analipa wakandarasi?

..nani atamiliki uwanja baada ya ujenzi kukamilika?

..siafiki serikali kuingia gharama za kujenga na kumiliki uwanja kwa gharama kubwa kama tulivyohabarishwa.
Watu mnagubu mnataka nani ajenge uwanja? Mo au GSM, mi team mikubwa tu mpaka leo kujenga hawawezi. Gharama ndogo ni ipi? tender imetoka mtu kashinda unataka kitu kizuri kina gharama zake. Hata gari ziko za Milion 10 mpaka milion 500 huko zote gari myumba za Mil 20 mpaka billion huko zote nyumba sasa, ghali ni kiasi gani? maana kuna mtu gari milion 20 atakwambia ghali sana na yuko ananunua milion 400. swali ghali ni ngapi?
 
Wewe ni mtu MZEE SANA

HUJUI HATA SEPARARING SERVICES NA INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT?
 
Watu mnagubu mnataka nani ajenge uwanja? Mo au GSM, mi team mikubwa tu mpaka leo kujenga hawawezi. Gharama ndogo ni ipi? tender imetoka mtu kashinda unataka kitu kizuri kina gharama zake. Hata gari ziko za Milion 10 mpaka milion 500 huko zote gari myumba za Mil 20 mpaka billion huko zote nyumba sasa, ghali ni kiasi gani? maana kuna mtu gari milion 20 atakwambia ghali sana na yuko ananunua milion 400. swali ghali ni ngapi?

..BILLIONI 310?

..sio sahihi hata kidogo.

..tulitaka nani wajenge? Hata CCM wana viwanja vya mpira, ikiwemo Kirumba.
 
2005 wa mkapa ilikua kwa billion 60. Anamaanisha kwa bil 300 tunaweza kupata wa watu 60000

Arusha wa watu 30000 unajengwa kwa bil 280
Kama sikosei 2005 mfuko wa cement ulikuwa unauzwa 8000 mpk 10000, leo hii ni sh 17500 mpk 18500 kwa bei ya dodoma.lzm gharma ziwe juu
 
Back
Top Bottom