Uwanja wa ndege wa Beirut waanza kuwakagua hata wana diplomasia wa Iran tofauti kabisa na ilivyokuwa huko nyuma

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Uwanja wa ndege wa Beirut unatekeleza hatua kali kwa safari za ndege za Irani, pamoja na mwanadiplomasia - hii ndio sababu.

Akiwasili kutoka Tehran kwenda Beirut kwa ndege ya "Mahan Air", mwanadiplomasia wa Iran alitoka moja kwa moja kutoka kwenye ndege hadi kituo cha ukaguzi cha skana ya kielektroniki, akiwa amebeba mifuko miwili ya kidiplomasia.

Wana usalama wa uwanja wa ndege waliomba, kama walivyofanya kwa abiria wote kwenye ndege moja, kwamba mwanadiplomasia huyo aweke mabegi yake kwenye skana kwa ajili ya ukaguzi. Hata hivyo, alikataa, akitoa mfano wa Mkataba wa Vienna wa Mahusiano ya Kidiplomasia wa 1961, ambao unatoa kinga kwa mizigo ya kidiplomasia kutofanyiwa upekuzi katika viwanja vya ndege au vivuko vingine vya mipakani.

Beirut airport enforces strict measures on Iranian flights, including a diplomat â hereâs why
 
kwahiyo mkuu walikuta nini kwenye hivo vifuko?
 
Hao ni wa kukaguliwa mpaka ndani ndani ya miili yao maana huwa wanabeba vya kuwasaidia migaidi ya hezbollah
 
Gaidi anakimbilia reference ya mkataba wa Vienna! Iran imekosa kabisa kuaminika middle east; hana budi kukaguliwa for security reasons.
Weka akilini mwako hiiii Iran inajesh lebanon la hezbollah iyo hezbollah inanguvu mala 70 ya jesh la lebanon inaweza tu asubui moja ukasikia nchi ya Lebanon imepinduliwa na ipo chini ya Hezbollah.
 
Haya mambo ni mazito sana dogo kwako kuyaelewa; mwandiko wenyewe mtihani utajua habari za Israel kweli wewe? Hebu waachie wenye uelewa mpana wadadavue haya mambo hutaonekana mjinga kwa kukaa kimya; kinyume chake ndio sahihi.
 
Weka akilini mwako hiiii Iran inajesh lebanon la hezbollah iyo hezbollah inanguvu mala 70 ya jesh la lebanon inaweza tu asubui moja ukasikia nchi ya Lebanon imepinduliwa na ipo chini ya Hezbollah.
Unadhani Israel ataliacha hilo litokee? Sidhani.
Kinacho endelea Ukraine na Russia ndio hiki unacho pendekeza hapa, unajua pia why Cuba na USA wamekua na ugomvi wa zaidi ya miaka 70? Sababu ni kama hiyo unacho kifikiria. For security reason, Israel hawezi kukubali Hezbollah atawale Lebanon
 
Ushawishi wa Iran 🇮🇷 unapungua kwa kasi sana.
Ushawishi wa Iran siku zote umekuwa kwenye makundi yake ya kigaidi iliyoyaanzisha na kuyapandikiza katika nchi za kiarabu. Nje ya hayo makundi, Iran ni nchi inayochukiwa karibia na nchi zote za kiarabu lwa sababu makundi yake ya kigaidi yamekuwa chanzo cha maafa mengi makubwa ndani ya mashariki ya kati.
 
Back
Top Bottom