Uwanja wa ndege wa Beirut waanza kuwakagua hata wana diplomasia wa Iran tofauti kabisa na ilivyokuwa huko nyuma

Uwanja wa ndege wa Beirut waanza kuwakagua hata wana diplomasia wa Iran tofauti kabisa na ilivyokuwa huko nyuma

Unadhani Israel ataliacha hilo litokee? Sidhani.
Kinacho endelea Ukraine na Russia ndio hiki unacho pendekeza hapa, unajua pia why Cuba na USA wamekua na ugomvi wa zaidi ya miaka 70? Sababu ni kama hiyo unacho kifikiria. For security reason, Israel hawezi kukubali Hezbollah atawale Lebanon
Anaunda serikali lakini ujue hilo
 
Weka akilini mwako hiiii Iran inajesh lebanon la hezbollah iyo hezbollah inanguvu mala 70 ya jesh la lebanon inaweza tu asubui moja ukasikia nchi ya Lebanon imepinduliwa na ipo chini ya Hezbollah.
Hivi vikundi vya kigaidi, Hezbollah, Hamas, Islamic Jihad, Houthi nk hawawezi kuruhusiwa kutawala nchi yoyote kwa sababu kando ya kuchinja watu hovyo wataleta vita visivyo na maana yoyote kwa sababu wao kwao vita ni Esteemed Profession.
 
Anaunda serikali lakini ujue hilo
Nalijua hilo kaka; sawa na hapa Tanzania, unadhani why ccm hawawezi kuruhusu wabunge wa upinzania kuwa wengi bungeni kuliko wa chama chao? Demokrasia duniani ni viini macho tu, is not something practical.
 
Back
Top Bottom