Uwanja wa ndege wa Bukoba ulikuwa hatari tangu zamani, au changamoto imeanza siku za hivi karibuni?

Uwanja wa ndege wa Bukoba ulikuwa hatari tangu zamani, au changamoto imeanza siku za hivi karibuni?

Roy Logan

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2021
Posts
790
Reaction score
3,190
Habari za jioni wadau, nimeuliza hilo swali baada ya kuona post huko Instagram kutoka kwa Milard Ayo, unaweza kusoma alichoandika Mh.then tukajadili.
Screenshot_20221117-173848_Instagram.jpg
 
Ndiyo ni hatari toka zamani...

Ndo maana kulikuwa na mpango toka kipindi cha mkapa kujengwe airport kubwa maeneo ya omkajunguti 40km from Bukoba municipality....

Ila siasa na ubinafsi wa viongozi wakalazimisha pale katikati ya mji na kuugawa mji katikati...
 
Uwanja mpya sijui utazuia vipi matatizo ya hali ya hewa!

Uwanja wa J F Kennedy New York safari zinaahirishwa sababu ya matatizo ya hali ya hewa, ndio iwe huo jamaa zangu wanaotaka wajengewe?!
Wanadeka now wanajua mbaya wao keshaondoka
 
This is blackmailing the Govenment on the basis of plane clash to construct new Bukoba airport.This is not acceptable.An old fashionable approach
 
Uwanja mpya sijui utazuia vipi matatizo ya hali ya hewa!

Uwanja wa J F Kennedy New York safari zinaahirishwa sababu ya matatizo ya hali ya hewa, ndio iwe huo jamaa zangu wanaotaka wajengewe?!
Huo uwanja nahisi ni mfupi wakati ndege ikitua (touch down) utasikia kishindo kikubwa tofauti na viwanja vingine na abiria wamekuwa wakilialamikia tatizo mara kadhaaa.
 
Ndege ilipata ajali kwa sababu ya hali ya hewa mbaya. Pia leo Air TZ imerudi kutua Mwanza kwa sababu huku bukoba hali ya hewa ilikua mbaya.
Je kiwanja kipya kitasaidia kufanya hali ya hewa kua nzuri?
 
Kuna hali ya hewa mbali zaidi sehemu zingine duniani ila bado pilots wanatua tu
Huo uwanja una nini kama ni ufupi wa runaway basi haifai
Na kama hakuna taa za uhakika kuonyesha kwenye mvua na ukungu basi ufungwe tu huo sio uwanja wa ndege
Issue ya runway inategemea aina ya ndege! Zile ATR za Precision Air na hizi Bomberdiear sio issue kabisa! Huwezi kukuta Airbus au Boeing 787 haiwez ruhusiwa kwenda Bukoba kutua ata sikumoja.

Issue ya Bukoba actually ni hali ya hewa kwa kesi hizi zasasa tunazosikia, Issue yakuamisha uwanja mwingine ilikuwa ni kutokuwa na nafasi ya kuongeza ile Airport yasasa, ila ulipotaka ukahamishiwe ilishindika si kwasababu za kisiasa au mtu binafsi ila baada ya kufanyika visibility study ya uwanja mpya iligundulika ili ndege iweze kutua katika uwanja uo mpya inabidi ndege iguse anga la Rwanda au Burundi! Hali hii ilionekana kuwa ni hatar cos ikitokea hizo nchi 2 zimefunga anga lake uwanja wa ndege wa uo usingekuwa unafanya kazi nao ungefungwa, alafu pia ingetakiwa uwe unalipia katika anga lao.
 
Back
Top Bottom