Uwanja wa ndege wa Bukoba ulikuwa hatari tangu zamani, au changamoto imeanza siku za hivi karibuni?

Uwanja wa ndege wa Bukoba ulikuwa hatari tangu zamani, au changamoto imeanza siku za hivi karibuni?

Mimi siafiki wazo la kujenga uwanja wa ndege mwingine Bukoba ikibidi waboreshe uwanja uliopo kwa kuuwekea taa za kuruka na kutua wakati wowote. Pia iwekwe control tower ndogo kwa ajili ya mawasiliano. Ikishindikana huu ndio wakati wa kuumalizia uwanja wa kimataifa chato ili watoke Bukoba na kwenda kupandia ndege huko. Sana sana barabara njia nne ijengwe kutoka Bukoba hadi chato 211 km tu ni sawa na mtu wa Morogoro kupandia ndege Dar au mtu wa Shinyanga kupandia ndege Mwanza ni hali ya kawaida kabisa.Hata Geita,Kahama,Mara walipandia ndege Mwanza kabla ya uwepo wa Chatto.Hapa tuboreshe tu miundo mbinu unganishi na viwanja vyetu viweze kufifika kwa urahisi. Kwa sasa wakati wa kuboresha na kumalizia uwanja wa ndege wa Chatto ili kuhudumia Bukoba,Geita,Biharamuro,Ngara nk.vinginevyo huwezi kushindilia maviwanja mengi eneo moja la kanda ya ziwa maana hata huu wa sasa bukoba sidhani utafungwa baada ya kujengwa uwanja mwingine. Tutumie chato international airport tuache siasa za kushinikiza maendeleo,kila mkoa una mahitaji.
Sasa kujenga barabara njia nne kutoka Bukoba hadi chato zaidi ya km200 si bora ujenge tu uwanja mpya wa ndege?
 
Kwa siku ya leo Kagera hakuna ambako ndege ingeweza kutua mkoa mzima ulijaa ukungu, labda maeneo machache, yaani kagera ingekuwa kama ni Rwanda basi ndege zote zingetua nchi jirani au kabla ya kuanza safari wanatakiwa kujua hali ya hewa ikoje huko? Hata Mpanda hali ya hewa haikuwa nzuri ndege zimeshindwa tua.
Mpanda Nako Ndege zinatua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom