Uwanja wa ndege wa Bukoba ulikuwa hatari tangu zamani, au changamoto imeanza siku za hivi karibuni?

Uwanja wa ndege wa Bukoba ulikuwa hatari tangu zamani, au changamoto imeanza siku za hivi karibuni?

Huo uwanja nahisi ni mfupi wakati ndege ikitua (touch down) utasikia kishindo kikubwa tofauti na viwanja vingine na abiria wamekuwa wakilialamikia tatizo mara kadhaaa.
Wala uwanja sio mfupi kulingana na ndege zinazoruhusiwa kutua hapo run way ina urefu wa kilomita 1.5,ambayo ni sawa kabisa,na mala nyingi zinapokuwa zina take off,huwa zinatumia kama 60% tu ya uwanja zinakuwa zimesha paa.hivyo hivyo wakati wa kutua.
 
Chama cha Warusha Ndege waelezea changamoto za rubani, ndege ya ATCL Bombadier yashindwa kutua Bukoba 17 /11/ 2022

Issue ya runway inategemea aina ya ndege! Zile ATR za Precision Air na hizi Bomberdiear sio issue kabisa! Huwezi kukuta Airbus au Boeing 787 haiwez ruhusiwa kwenda Bukoba kutua ata sikumoja.

Issue ya Bukoba actually ni hali ya hewa kwa kesi hizi zasasa tunazosikia, Issue yakuamisha uwanja mwingine ilikuwa ni kutokuwa na nafasi ya kuongeza ile Airport yasasa, ila ulipotaka ukahamishiwe ilishindika si kwasababu za kisiasa au mtu binafsi ila baada ya kufanyika visibility study ya uwanja mpya iligundulika ili ndege iweze kutua katika uwanja uo mpya inabidi ndege iguse anga la Rwanda au Burundi! Hali hii ilionekana kuwa ni hatar cos ikitokea hizo nchi 2 zimefunga anga lake uwanja wa ndege wa uo usingekuwa unafanya kazi nao ungefungwa, alafu pia ingetakiwa uwe unalipia katika anga lao.
Mmh hapo kwenye kugusa anga LA Burundi na Rwanda ndio ndege iweze kutua bukoba umetuokota ndugu mtaalam. Sidhani...ni mbali mno
 
Issue ya runway inategemea aina ya ndege! Zile ATR za Precision Air na hizi Bomberdiear sio issue kabisa! Huwezi kukuta Airbus au Boeing 787 haiwez ruhusiwa kwenda Bukoba kutua ata sikumoja.

Issue ya Bukoba actually ni hali ya hewa kwa kesi hizi zasasa tunazosikia, Issue yakuamisha uwanja mwingine ilikuwa ni kutokuwa na nafasi ya kuongeza ile Airport yasasa, ila ulipotaka ukahamishiwe ilishindika si kwasababu za kisiasa au mtu binafsi ila baada ya kufanyika visibility study ya uwanja mpya iligundulika ili ndege iweze kutua katika uwanja uo mpya inabidi ndege iguse anga la Rwanda au Burundi! Hali hii ilionekana kuwa ni hatar cos ikitokea hizo nchi 2 zimefunga anga lake uwanja wa ndege wa uo usingekuwa unafanya kazi nao ungefungwa, alafu pia ingetakiwa uwe unalipia katika anga lao.

Idiot
 
Ndege ilipata ajali kwa sababu ya hali ya hewa mbaya. Pia leo Air TZ imerudi kutua Mwanza kwa sababu huku bukoba hali ya hewa ilikua mbaya.
Je kiwanja kipya kitasaidia kufanya hali ya hewa kua nzuri?
Sula la kujenga uwanja mpya lilikuwepo hata kabla ya ajali ya juzi, Magufuli alizuia uwanja usijengwe na pesa akapeleka kwao....lakini uwanja wa Bukoba ni muhimu sana kwani una wasafiri wengi kuliko Chato.......japo na Chato ni muhimu pia
 
Issue ya runway inategemea aina ya ndege! Zile ATR za Precision Air na hizi Bomberdiear sio issue kabisa! Huwezi kukuta Airbus au Boeing 787 haiwez ruhusiwa kwenda Bukoba kutua ata sikumoja.

Issue ya Bukoba actually ni hali ya hewa kwa kesi hizi zasasa tunazosikia, Issue yakuamisha uwanja mwingine ilikuwa ni kutokuwa na nafasi ya kuongeza ile Airport yasasa, ila ulipotaka ukahamishiwe ilishindika si kwasababu za kisiasa au mtu binafsi ila baada ya kufanyika visibility study ya uwanja mpya iligundulika ili ndege iweze kutua katika uwanja uo mpya inabidi ndege iguse anga la Rwanda au Burundi! Hali hii ilionekana kuwa ni hatar cos ikitokea hizo nchi 2 zimefunga anga lake uwanja wa ndege wa uo usingekuwa unafanya kazi nao ungefungwa, alafu pia ingetakiwa uwe unalipia katika anga lao.
Duh hapo sijui tuamini nini tuache nini....yaani mara tuliambiwa pale kuna Swamp jambo ambalo lingesumbua sana mara sijui wakati wa kugeuza yaweza kugusa anga za mataifa jirani....kuna uongo mwingi lakini Magufuli alifanya makusudi ili uwanja upelekwe kwao
 
Ndiyo ni hatari toka zamani...

Ndo maana kulikuwa na mpango toka kipindi cha mkapa kujengwe airport kubwa maeneo ya omkajunguti 40km from Bukoba municipality....

Ila siasa na ubinafsi wa viongozi wakalazimisha pale katikati ya mji na kuugawa mji katikati...
Kwa siku ya leo Kagera hakuna ambako ndege ingeweza kutua mkoa mzima ulijaa ukungu, labda maeneo machache, yaani kagera ingekuwa kama ni Rwanda basi ndege zote zingetua nchi jirani au kabla ya kuanza safari wanatakiwa kujua hali ya hewa ikoje huko? Hata Mpanda hali ya hewa haikuwa nzuri ndege zimeshindwa tua.
 
baada ya kufanyika visibility study ya uwanja mpya iligundulika ili ndege iweze kutua katika uwanja uo mpya inabidi ndege iguse anga la Rwanda au Burundi!

August 24, 2022
Kigali, Rwanda

Rwanda regains control of upper airspace 5 decades later
Wednesday, August 24, 2022
Edwin Ashimwe
Silas Udahemuka, Director General of Rwanda Civil Aviation Authority (left), and his Tanzanian counterpart Hamza Johari (right), alongside Permanent Secretary at the Ministry of Infrastructure Fidèle Abimana (centre), during the signing ceremony in Kigali on August 16. Photo: Courtesy.

Rwanda will now have full control over her upper aerial space, nearly five decades in the hands of the government of Tanzania.

A handover deed was signed last week by both governments after Rwanda notified of her intention to withdraw and directly discharge her responsibility of providing air traffic services in her upper airspace.

Silas Udahemuka, Director General of Rwanda Civil Aviation Authority (RCAA) and Tanzanian counterpart Hamza Johari, alongside Permanent Secretary at the Ministry of Infrastructure Fidèle Abimana as well as Barry Kashambo, Regional Director of ICAO Eastern and Southern African (ESAF), presided over the signing ceremony in Kigali.

According to RCAA, the country’s upper airspace was delegated to Tanzania in 1973 for provision of air traffic services.

However, officials said, to be able to regain her airspace, Rwanda fronted different reasons including improving safety in Kigali Flight Information Region (FIR) as well as meeting regulatory requirements such as Search and Rescue (SAR) obligations.

And following several coordination meetings led by The International Civil Aviation Organisation (ICAO), Rwanda was permitted to continue with the process to take over the airspace.

ICAO ordinarily gives the control of the upper airspace.
According to Serge Tuyihimbaze, an aviation expert based in Kigali, countries delegate provision of air traffic service for either technical, operational, safety or efficiency considerations.

Tuyihimbaze, who is also the Managing Director at Leapr Labs-a local drones company, argues that the opportunity in delineation of airspace lying across national boundaries could be targeting the proposed value alongside the previous aspects.

"But the opportunity cost in my opinion is around any barriers that may result in delegation of state sovereignty over airspace for provision of air traffic services,” he said.

"Of course having full control of your territory, being the airspace and ground, means a lot politically, looking at factors like independence, and others... And economically, if there was a big cost related to the provision of such services, the cost is saved! Or if real-time processing of Air Traffic data for future use is an option, this can have a good impact economically through Data Science innovations.”

For Alex Nwuba, a regional aviation analyst, countries may not wish to or cannot afford to offer navigation services over their upper airspace, in which case they delegate it over to another country or agency.

Much as Rwanda is restraining its upper space, Nwuba said, it is still a participant in the East Africa Community Unified Flight Information Region (UFIR) that creates a single block of upper airspace over Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi and Rwanda, operating from a single area control centre under the regional open skies agreement.

"Thus it negates any opportunity cost. In Europe, this control is by Eurocontrol and AESCHNA with the francophone African nations who share the benefits.”

1 shared similar sentiments with Tuyihimbaze, citing that the economic gains include collection of overflight fees while security makes a big part of the security gains.

Matthias Twahirwa, a pilot who spoke to The New Times, explained that up until recently, all aircraft flying over Rwanda above 24500 ft. didn’t need the country’s permission, but they needed permission from Dar es salam.

This was also particularly the same case for Rwanda which could not launch any object in space without Tanzania’s permission.

"Imagine if we started launching weather balloons, satellites now that we have the space agency. All that would be easy, since we would have our space back. It’s like having land but not owning the rights to use it however you want.”

On the economic front, some countries can make up to $1 million a day from airspace usage, according to Twahirwa.

Besides the handover ceremony, Johari accompanied by Tanzanian delegation, also visited Kigali International Airport and held a meeting with Rwandan aviation stakeholders including the management of Rwanda Airports Company and RCAA.
Both sides, officials said, shared experiences and best practices in regulatory services
 
Sula la kujenga uwanja mpya lilikuwepo hata kabla ya ajali ya juzi, Magufuli alizuia uwanja usijengwe na pesa akapeleka kwao....lakini uwanja wa Bukoba ni muhimu sana kwani una wasafiri wengi kuliko Chato.......japo na Chato ni muhimu pia
Bukoba vs Nduli Airport
 
Siasa zimeanza kuingia hapo, wahaya wanataka airport mpya kijanja kwa kutumia kivuli cha ajali.
unasema ukweli kabisa.uwanja wa bukoba unaongelewa kisiasa zaidi na hao wanasiasa wa bukoba na kama wanataka kujenga hoja ya kuwa na uwanja mpya basi wajenge.lkn uwanja wa bukoba hauna tofauti na wa songea,dodoma,tabora,sumbawanga nk.labda tu utofauti ni kuwa pembezoni mwa ziwa.uwanja wa kigoma,mwanza viko pembezoni mwa maziwa.uwanja wa bukoba hauna shida,run way yake ni nzuri tu.wanasiasa na baadhi ya waandishi wa habari wanauelezea huo uwanja kwa mtazamo potofu kabisa lkn sisi tunaoujua na tulioko hapa kagera tunashangaa kwa jisni unavyoelezewa.ni tofauti kabisa na uhalisia.kagera inapata mvua nyingi karibu mwaka mzima.hali ya hewa ya kagera ni tofauti na sehemu nyinginezo hivyo ndege kushindwa kutua ni jambo la kawaida kabisa kutokana na jiografia ya mkoa huu.sasa wanasiasa wasihusishe utofauti na hali ya hewa na ubovu wa uwanja.
 
unasema ukweli kabisa.uwanja wa bukoba unaongelewa kisiasa zaidi na hao wanasiasa wa bukoba na kama wanataka kujenga hoja ya kuwa na uwanja mpya basi wajenge.lkn uwanja wa bukoba hauna tofauti na wa songea,dodoma,tabora,sumbawanga nk.labda tu utofauti ni kuwa pembezoni mwa ziwa.uwanja wa kigoma,mwanza viko pembezoni mwa maziwa.uwanja wa bukoba hauna shida,runwaway yake ni nzuri tu.wanasiasa na baadhi ya waandishi wa habari wanauelezea huo uwanja kwa mtazamo potofu kabisa lkn sisi tunaoujua na tulioko hapa kagera tunashangaa kwa jisni unavyoelezewa.ni tofauti kabisa na uhalisia.kagera inapata mvua nyingi karibu mwaka mzima.hali ya hewa ya kagera ni tofauti na sehemu nyinginezo hivyo ndege kushindwa kutua ni jambo la kawaida kabisa kutokana na jiografia ya mkoa huu.sasa wanasiasa wasihusishe utofauti na hali ya hewa na ubovu wa uwanja.
Wew ni mpumbavu
Screenshot_20221117-214521.jpg
 
inashangaza sana kwa wasomi wetu kutoa weak argument kama hizo.kwani unapoenda mwanza hupiti juu ya visiwa?
Hebu basi justify na toa sababu za kitaalamu kwa nini unasema uwanja wa Bukoba unakidhi vigezo....

Hoja hujibiwa kwa hoja...sio kejeli za ajabu kama wew...
 
Back
Top Bottom