Uwanja wa ndege wa Bukoba ulikuwa hatari tangu zamani, au changamoto imeanza siku za hivi karibuni?

Uwanja wa ndege wa Bukoba ulikuwa hatari tangu zamani, au changamoto imeanza siku za hivi karibuni?

Hayo mapungufu yote yanaweza kufanyiwa marekebisho na uwanja ukaimarika zaidi. Je vipi hali ya hewa nayo mtarekebisha?
Unauliza maswali ya ajabu sana....hauko serious
Kwan huko ulaya kunakobaki ukungu muda wote...ndege hazifanyi kazi? Wanafanyaje mpaka ndege zinatua...then hio iwe short plan solution kwa uwanja wa Bukoba...kama kuufungia taa na control tower.....huku ishu ya runway ikisolviwa kwa kujenga airport mpya...hata wakianza na runway tu na vitu essential kwa ndege kupaa..
Then watamalizis terminal baadae
 
Hivi najiuliza kwa nini inapotokea hali ya hewa kuwa mbaya Bukoba hawaendi Chato wanaenda Mwanza? nilifikiri Chato ni karibu na Bukoba kuliko Mwanza. Au hauwezi kutumika kwa sasa???? money lost!!!
 
Uwanja mpya sijui utazuia vipi matatizo ya hali ya hewa!

Uwanja wa J F Kennedy New York safari zinaahirishwa sababu ya matatizo ya hali ya hewa, ndio iwe huo jamaa zangu wanaotaka wajengewe?!
Bora useme maana nashangaa tunavyoshobokea hili jambo. Subirini Mfaransa amalize uchunguzi aliopewa jibu litakuja uzembe wa rubani mtaniambia.
 
Unauliza maswali ya ajabu sana....hauko serious
Kwan huko ulaya kunakobaki ukungu muda wote...ndege hazifanyi kazi? Wanafanyaje mpaka ndege zinatua...then hio iwe short plan solution kwa uwanja wa Bukoba...kama kuufungia taa na control tower.....huku ishu ya runway ikisolviwa kwa kujenga airport mpya...hata wakianza na runway tu na vitu essential kwa ndege kupaa..
Then watamalizis terminal baadae
Viko vowanja vichache ulimwenguni ambako kuna mifumo ya kushusha na kurusha ndege automatic. Pamoja na yote bado mamlaka ya usafiri ya Ulaya hairuhusu matumizi ya asilimia 100 ya kutua kwa automatic. Na viwanja hivyo ni vile vyenye kutua ndege maelfu kwa siku moja ndio italipa. Maana uwanja ni biashara pia.
 
Sasa kama uwanja wa bukoba hata vitu basic havipo ndo serikali isiwajibike kwa sababu hata ulimwenguni viwanja vinavyojitosheleza ni vichache[emoji23]? Hiv kwa nini sisi waafrica huws hatujikubali?..kwan hao wazungu wana nini mpaka wakatengeneza viwanja vya namna hiyo?
 
Na si Bukoba pekee mkuu, Tanzania viwanja vyenye Instruments landing systems ni Dar, Zanzibar, Mwanza na Kilimanjaro. Tanga, Arusha, Tabora, Kigoma, Dodoma, Iringa, Songwe, Songea, Mtwara na Pemba zaidi ni taa za barabara ya kutua ili waweze kutua usiku. Kwingine kulikobakia ni uwanja tu.
 
Basi tutegemee ajali nyingi zaidi huko mbeleni...
 
Mimi siafiki wazo la kujenga uwanja wa ndege mwingine Bukoba ikibidi waboreshe uwanja uliopo kwa kuuwekea taa za kuruka na kutua wakati wowote. Pia iwekwe control tower ndogo kwa ajili ya mawasiliano. Ikishindikana huu ndio wakati wa kuumalizia uwanja wa kimataifa chato ili watoke Bukoba na kwenda kupandia ndege huko. Sana sana barabara njia nne ijengwe kutoka Bukoba hadi chato 211 km tu ni sawa na mtu wa Morogoro kupandia ndege Dar au mtu wa Shinyanga kupandia ndege Mwanza ni hali ya kawaida kabisa.Hata Geita,Kahama,Mara walipandia ndege Mwanza kabla ya uwepo wa Chatto.Hapa tuboreshe tu miundo mbinu unganishi na viwanja vyetu viweze kufifika kwa urahisi. Kwa sasa wakati wa kuboresha na kumalizia uwanja wa ndege wa Chatto ili kuhudumia Bukoba,Geita,Biharamuro,Ngara nk.vinginevyo huwezi kushindilia maviwanja mengi eneo moja la kanda ya ziwa maana hata huu wa sasa bukoba sidhani utafungwa baada ya kujengwa uwanja mwingine. Tutumie chato international airport tuache siasa za kushinikiza maendeleo,kila mkoa una mahitaji.
 
Bora useme maana nashangaa tunavyoshobokea hili jambo. Subirini Mfaransa amalize uchunguzi aliopewa jibu litakuja uzembe wa rubani mtaniambia.
Watu wameshupalia kilichotokea baada ya ajali. Chanzo cha ajali ni muhimu zaidi, kikijulikana kinaweza kusaidia kuepusha ajali kama hizo zisitokee tena siku zijazo.
 
Napendekeza Chato International airport iwe ya Bukoba kwa kurudisha chato ndani ya Wilaya ya Biharamlo na kuwa uwanja wa Bukoba simple.
 
Hivi kwa wajuzi wa mambo kutua Chato na kutua mwanza kwa ndege iliyo shindwa kutua Bukoba wapi ni karibu zaidi? au chato na kwenyewe hakuna huduma za kutulisha ndege?
 
Ndege ilipata ajali kwa sababu ya hali ya hewa mbaya. Pia leo Air TZ imerudi kutua Mwanza kwa sababu huku bukoba hali ya hewa ilikua mbaya.
Je kiwanja kipya kitasaidia kufanya hali ya hewa kua nzuri?
..your intelligence is of another level..for mere person to understand.
 
Kiwanja cha ndege chato kinazidi Bukoba kwa urefu wa run way. Inapokuja suala la kuokoa kama ni crush landing, Chato haina uwezo kulinganisha na Mwanza.
Rubani akitua ziwani, anatakiwa waokoaji toka nchi kavu wasichelewe zaidi ya dakika 15. Waokoaji wawe wanajua kuzama majini, kuvunja kuta za ndege, na kuokoa abiria, zoezi hilo walifanya wavuvi wa bukoba kwa Precision. Uwanja wa Chato wanna uokoaji wa magari ya zimamoto tu.
 
Hivi kwa wajuzi wa mambo kutua Chato na kutua mwanza kwa ndege iliyo shindwa kutua Bukoba wapi ni karibu zaidi? au chato na kwenyewe hakuna huduma za kutulisha ndege?
Hakuna. Tofauti tu Chato barabara yake ni ndefu zaidi
 
Back
Top Bottom