Hayo mapungufu yote yanaweza kufanyiwa marekebisho na uwanja ukaimarika kuliko kuingia gharama kubwa kujenga uwanja mpya.Wew ni mpumbavu View attachment 2419984
Hahaha.......haya bhana!Hatuna muda na wala mbwa sisi[emoji23][emoji23]
Tatizo mnajali hela sana kuliko utu....imagineView attachment 2419992View attachment 2419993View attachment 2419994
Unauliza maswali ya ajabu sana....hauko seriousHayo mapungufu yote yanaweza kufanyiwa marekebisho na uwanja ukaimarika zaidi. Je vipi hali ya hewa nayo mtarekebisha?
Bora useme maana nashangaa tunavyoshobokea hili jambo. Subirini Mfaransa amalize uchunguzi aliopewa jibu litakuja uzembe wa rubani mtaniambia.Uwanja mpya sijui utazuia vipi matatizo ya hali ya hewa!
Uwanja wa J F Kennedy New York safari zinaahirishwa sababu ya matatizo ya hali ya hewa, ndio iwe huo jamaa zangu wanaotaka wajengewe?!
Viko vowanja vichache ulimwenguni ambako kuna mifumo ya kushusha na kurusha ndege automatic. Pamoja na yote bado mamlaka ya usafiri ya Ulaya hairuhusu matumizi ya asilimia 100 ya kutua kwa automatic. Na viwanja hivyo ni vile vyenye kutua ndege maelfu kwa siku moja ndio italipa. Maana uwanja ni biashara pia.Unauliza maswali ya ajabu sana....hauko serious
Kwan huko ulaya kunakobaki ukungu muda wote...ndege hazifanyi kazi? Wanafanyaje mpaka ndege zinatua...then hio iwe short plan solution kwa uwanja wa Bukoba...kama kuufungia taa na control tower.....huku ishu ya runway ikisolviwa kwa kujenga airport mpya...hata wakianza na runway tu na vitu essential kwa ndege kupaa..
Then watamalizis terminal baadae
Sasa kama uwanja wa bukoba hata vitu basic havipo ndo serikali isiwajibike kwa sababu hata ulimwenguni viwanja vinavyojitosheleza ni vichache[emoji23]? Hiv kwa nini sisi waafrica huws hatujikubali?..kwan hao wazungu wana nini mpaka wakatengeneza viwanja vya namna hiyo?Viko vowanja vichache ulimwenguni ambako kuna mifumo ya kushusha na kurusha ndege automatic. Pamoja na yote bado mamlaka ya usafiri ya Ulaya hairuhusu matumizi ya asilimia 100 ya kutua kwa automatic. Na viwanja hivyo ni vile vyenye kutua ndege maelfu kwa siku moja ndio italipa. Maana uwanja ni biashara pia.
Na si Bukoba pekee mkuu, Tanzania viwanja vyenye Instruments landing systems ni Dar, Zanzibar, Mwanza na Kilimanjaro. Tanga, Arusha, Tabora, Kigoma, Dodoma, Iringa, Songwe, Songea, Mtwara na Pemba zaidi ni taa za barabara ya kutua ili waweze kutua usiku. Kwingine kulikobakia ni uwanja tu.Sasa kama uwanja wa bukoba hata vitu basic havipo ndo serikali isiwajibike kwa sababu hata ulimwenguni viwanja vinavyojitosheleza ni vichache[emoji23]? Hiv kwa nini sisi waafrica huws hatujikubali?..kwan hao wazungu wana nini mpaka wakatengeneza viwanja vya namna hiyo?
Basi tutegemee ajali nyingi zaidi huko mbeleni...Na si Bukoba pekee mkuu, Tanzania viwanja vyenye Instruments landing systems ni Dar, Zanzibar, Mwanza na Kilimanjaro. Tanga, Arusha, Tabora, Kigoma, Dodoma, Iringa, Songwe, Songea, Mtwara na Pemba zaidi ni taa za barabara ya kutua ili waweze kutua usiku. Kwingine kulikobakia ni uwanja tu.
Sawa kama shida ni viwanjaBasi tutegemee ajali nyingi zaidi huko mbeleni...
Bukoba ni makao makuu ya majanga nchini. Tuwe makini na viwanja vya ndege maeneo hayo.Habari za jioni wadau, nimeuliza hilo swali baada ya kuona post huko Instagram kutoka kwa Milard Ayo, unaweza kusoma alichoandika Mh.then tukajadili.
View attachment 2419642
Duh!Huo uwanja nahisi ni mfupi wakati ndege ikitua (touch down) utasikia kishindo kikubwa tofauti na viwanja vingine na abiria wamekuwa wakilialamikia tatizo mara kadhaaa.
Watu wameshupalia kilichotokea baada ya ajali. Chanzo cha ajali ni muhimu zaidi, kikijulikana kinaweza kusaidia kuepusha ajali kama hizo zisitokee tena siku zijazo.Bora useme maana nashangaa tunavyoshobokea hili jambo. Subirini Mfaransa amalize uchunguzi aliopewa jibu litakuja uzembe wa rubani mtaniambia.
..your intelligence is of another level..for mere person to understand.Ndege ilipata ajali kwa sababu ya hali ya hewa mbaya. Pia leo Air TZ imerudi kutua Mwanza kwa sababu huku bukoba hali ya hewa ilikua mbaya.
Je kiwanja kipya kitasaidia kufanya hali ya hewa kua nzuri?
Hakuna. Tofauti tu Chato barabara yake ni ndefu zaidiHivi kwa wajuzi wa mambo kutua Chato na kutua mwanza kwa ndege iliyo shindwa kutua Bukoba wapi ni karibu zaidi? au chato na kwenyewe hakuna huduma za kutulisha ndege?