Siwapi moyo huo ndio ukweli. Hawa jamaa kwanzia itokee janga la corona ligi yao ikasimamishwa. Na hawakucheza mchezo wowote ule na ligi ya Nigeria hadi sasa bado haijaanza tena. Sasa wachezaji wanapataje fitness? Je kikosi kinatengenezwaje kwa kutocheza mechi ili kujipima? Sima wana advantage sana ya kufuzu hatua inayofuataMkuu naona unawapa moyo eeh
Kocha uchebe ndo mpuuzi kutuharibia CV ugenini tafuta sare ukija ushindi ni bora zaidi yeye alikuwa akifunguka ile mbaya bila kuwa na tahadhari, sasa rekodi ile hakuna tena kwa sasa kwa Kocha huyu VanderbroeckLeo tunataka sare au ushindi ila kocha tukipigwa hamsa ni bora ubakie huko huko na upitilize kwenda kwenu
Ndiyo maana yake mkuu... Simba SCSasa hapa sijajua goma kitarushwa live youtube ama vpView attachment 1637530
Mwaka jana tuliishia Hamsa, mwaka huu tunaanzia hapo kwenda juu! Lazima tujue namba za kiarabuLigi ya Mabingwa barani Afrika kuendelea kupigwa leo November 29, 2020 ambapo, Klabu ya Plateau United, inawakaribisha Mabingwa nchini Tanzania Simba SC, Mnyama kunako dimba la New Jos nchini Nigeria.
Mchezo unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90 hasa ukizingatia kwamba kila timu inataka kuanza vema kwenye michuano hii ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kocha wa Simba SC, Sven Vanderbroeck amesema " Hatuna taarifa kuhusu wao lakini mwanzoni tutaanza kwa kuimarisha eneo la ulinzi na kuangalia uimara na udhaifu wao upo eneo gani na baada ya hapo tutaangalia cha kufanya.
" Kila kitu kipo sawa na kila mmoja yupo tayari kwa mchezo na wana furaha kwa hilo, tulichofanyia kazi kwa wiki kadhaa inabidi tukitumie leo, mipango yetu imejikita zaidi upande wetu ili kuhakikisha tunapa ushindi" amesema Sven Vanderbroeck
Kulitaka Mwana, Kulipewa Mwana
Kumbuka mtanange huu wa kombe la Klabu Bingwa Afrika ni kuanzia saa 10: 00 za huko, saa 12: 00 kwa za Tanzania. Usikose Ukaambiwa..!
Update:
=======
Klabu ya Plateau United imezuia kuonyesha matangazo ya moja kwa moja (mubashara) mchezo huu, hata hivyo viongozi wetu chini ya mtendaji mkuu Barbara Gonzalez wanapambana ili mchezo huu uwe Live kwenye Runinga View attachment 1637428
Inaelekea uliacha kufuatlia Ligi ya Mabingwa wa Afrika kwa umakini tangu Yanga iliposhindwa kukata tiketi miaka minne iliyopitaMwaka jana tuliishia Hamsa, mwaka huu tunaanzia hapo kwenda juu! Lazima tujue namba za kiarabu
Hapa nasali Simba wapigwe kipigo cha mbwa koko.Ligi ya Mabingwa barani Afrika kuendelea kupigwa leo November 29, 2020 ambapo, Klabu ya Plateau United, inawakaribisha Mabingwa nchini Tanzania Simba SC, Mnyama kunako dimba la New Jos nchini Nigeria.
Mchezo unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90 hasa ukizingatia kwamba kila timu inataka kuanza vema kwenye michuano hii ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kocha wa Simba SC, Sven Vanderbroeck amesema " Hatuna taarifa kuhusu wao lakini mwanzoni tutaanza kwa kuimarisha eneo la ulinzi na kuangalia uimara na udhaifu wao upo eneo gani na baada ya hapo tutaangalia cha kufanya.
" Kila kitu kipo sawa na kila mmoja yupo tayari kwa mchezo na wana furaha kwa hilo, tulichofanyia kazi kwa wiki kadhaa inabidi tukitumie leo, mipango yetu imejikita zaidi upande wetu ili kuhakikisha tunapa ushindi" amesema Sven Vanderbroeck
Kulitaka Mwana, Kulipewa Mwana
Kumbuka mtanange huu wa kombe la Klabu Bingwa Afrika ni kuanzia saa 10: 00 za huko, saa 12: 00 kwa za Tanzania. Usikose Ukaambiwa..!
Update:
=======
Klabu ya Plateau United imezuia kuonyesha matangazo ya moja kwa moja (mubashara) mchezo huu, hata hivyo viongozi wetu chini ya mtendaji mkuu Barbara Gonzalez wanapambana ili mchezo huu uwe Live kwenye Runinga View attachment 1637428
Washirika hahahaa ....mkuu ukimaanisha Zahera ama?Utopolo wa Nigeria wamezuia kuonyesha matangazo ya moja kwa moja (mubashara) lakini wasije wakalalamika wakija Tanzania wawaulize Vita na washirika wao ilikuwaje..!
Kipigo cha afande Muroto.Hapa nasali Simba wapigwe kipigo cha mbwa koko.
Wamesema watarusha uchambuzi wa matukio tuUpdate;
Simba SC dhidi ya Plateau United itakuwa live kupitia channel yetu ya YouTube
Sema unaloga/kuwanga.Hapa nasali Simba wapigwe kipigo cha mbwa koko.