Uwanja wa New Jos | Ligi ya Mabingwa Afrika' Plateau United Vs Simba SC

Hii comment ihifadhi sehemu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Looo naona manjagu yamekaa kila kona ulinzi mi mkali mno
 
Tupe link
Ingia tu youtube andika SIMBA SC YOUTUBE CHANNEL itakupeleka live jitahidi uweke quality kubwa ndo utaona vzr ila ukibania MB ukaweka low qualitu hutainjoy
 
Aise nchi zingine , askari wengi kuliko watazamaji?
 
Bado tuko nyuma sana katika teknolojia
Yaani huko Nigeria mpira unaoneshwa huku hatuwezi kuona
 
27' Bado milango ni migumu timu zikishambuliana kwa zamu, huku Plateau United wakipa kona tano mpaka ambazo hazikuzaa bao

Plateau United 0-0 Simba SC
 
Pascal Wawa anakuwa mzembe mzembe kurudi kuna kimjamaa kinamsumbua sumbua. Hawezi kurudi kwa kasi
 
Pascal Wawa wewe hicho kindululu unakipeleka wapi? kikate buti iwe kadi ya njano lakini mradi umekipunguza makali.
 
Onyango, Mohamed Hussein, Manula mpaka sasa wamefanya kazi nzuri

Plateau United 0-0 Simba SC
 
Simba 1;3 plateau kwa maoni ya wadau natabiri...!


hakuna.jipya.chini.ya.jua"
 
Ni free kick kuelekea Plateau United

Miquissone anapigaaaa, Inaokolewa huku Mohamed Hussein akionyeshwa kadi ya njano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…