Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Tupe tathimi mpaka sasa hiviWakati wowote mpira utakuwa ni mapumziko katika uwanja wa New Jos nchini Nigeria
Naaam mpira ni mapumziko ambapo hakuna timu imeona lango
HT; Plateau United 0-0 Simba SC
Tupe tathminiWakati wowote mpira utakuwa ni mapumziko katika uwanja wa New Jos nchini Nigeria
Naaam mpira ni mapumziko ambapo hakuna timu imeona lango
HT; Plateau United 0-0 Simba SC
Tunajua huwezi kutuombea dua njema, na ndio maana baada ya dua yako tunajiombea tenaPlateau let's go .Msituangushe.
We jamaa ungekua mwanamziki ni nomaa!Tunajua huwezi kutuombea dua njema, na ndio maana baada ya dua yako tunajiombea tena
Naaam, kwa ufupi Simba SC wamecheza kwa umakini kuhakikisha kipindi hiki cha kwanza hakuna madhara hasa idara ya ulinzi, Onyango, Mohamed, kapombe na Aishi kongole kwaoTupe tathimi mpaka sasa hivi
Your mother alipgwa 5 ukaptkana ww
AhsanteNaaam, kwa ufupi Simba SC wamecheza kwa umakini kuhakikisha kipindi hiki cha kwanza hakuna madhara hasa idara ya ulinzi, Onyango, Mohamed, kapombe na Aishi kongole kwao
Plateau United hii game wameimiliki hasa mbele kupitia pembeni ndo maana kona ni nyingi zimeelekezwa upande wa Simba SC ambazo hazikuzaa bao.
Simba upande wa mbele, hawapati sana mipira, ndo maana Miquissone anajaribu lakini inapotea lakini tusubiri kuona kipindi cha pili nini kitatokea.
Weka akiba ya maneno. Nakumbuka mechi dhidi ya UD Songo. Zilitolewa kauli za uhakika kama hizi kisa tu matokeo yalikuwa bila bila. ila mwisho wa siku kilichotokea hamkuamini na machozi yaliwatokaTATHIMINI
1. Mechi ya marudio hawa jamaa watakufa tu iwe isiwe
2. Kuna kijitu kifupi kilikuwa kinamsumbua Pascal Wawa lakini naona wamekidhibiti
3. Aishi Manula yuko vizuri. kipindi hiki cha kwanza ndo man of the match
5. Vijamaa vinakuja vyote kushambulia kwa hiyo Simba wakifanya counter-attack kipindi cha pili wanaweza kupata bao mbili
6. Uwanja nao siyo mzuri kwa hiyo wakija uwanja wa Mkapa watabaki wanashangaa uwanja Simba wanapata mabao
Nami nakuombea upigwe 4 kwenye michuano yenu kombe la Mapinduzi Cup..[emoji23][emoji23]