Uwanja wa New Jos | Ligi ya Mabingwa Afrika' Plateau United Vs Simba SC

Tupe tathimi mpaka sasa hivi
Naaam, kwa ufupi Simba SC wamecheza kwa umakini kuhakikisha kipindi hiki cha kwanza hakuna madhara hasa idara ya ulinzi, Onyango, Mohamed, kapombe na Aishi kongole kwao

Plateau United hii game wameimiliki hasa mbele kupitia pembeni ndo maana kona ni nyingi zimeelekezwa upande wa Simba SC ambazo hazikuzaa bao.

Simba upande wa mbele, hawapati sana mipira, ndo maana Miquissone anajaribu lakini inapotea lakini tusubiri kuona kipindi cha pili nini kitatokea.
 
TATHIMINI
1. Mechi ya marudio hawa jamaa watakufa tu iwe isiwe
2. Kuna kijitu kifupi kilikuwa kinamsumbua Pascal Wawa lakini naona wamekidhibiti
3. Aishi Manula yuko vizuri. kipindi hiki cha kwanza ndo man of the match
5. Vijamaa vinakuja vyote kushambulia kwa hiyo Simba wakifanya counter-attack kipindi cha pili wanaweza kupata bao mbili
6. Uwanja nao siyo mzuri kwa hiyo wakija uwanja wa Mkapa watabaki wanashangaa uwanja Simba wanapata mabao
 
Ahsante
 
Weka akiba ya maneno. Nakumbuka mechi dhidi ya UD Songo. Zilitolewa kauli za uhakika kama hizi kisa tu matokeo yalikuwa bila bila. ila mwisho wa siku kilichotokea hamkuamini na machozi yaliwatoka
 
53' Miquissone anakwendaa kwake Chamaaaa Gooooooooaaal Gooooooooaaal

Claotus Chota Chama Triple C anaandika bao la kwanza baada ya kazi bomba ya Miquissone

Plateau United 0-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom