Ila itakuwa kweli aiseππItakuwa ameenda kumpikia mumeweπ
Sala zako ni batili....Hapa nasali Simba wapigwe kipigo cha mbwa koko.
KapetaaaPenalt
Ipo ya mtoano then makundiHivi kuna mechi ingine tena ya mtoano au tunaingia kwenye makundi
Hii inaitwa semifinalsHivi kuna mechi ingine tena ya mtoano au tunaingia kwenye makundi
90+2+3'
Refa maliza mpiraaaaaaaa, au unataka tufunge la pili?
Bado ,hamfiki mbali. Mtakwama kule North Africa. Sala zangu zipo pale pale.Sala zako zimekuwa batili....
Simba nguvu moja πͺπͺπͺπͺ
Na kwa Hasira alizonazi saivi,si ajabu mwenzangu kunyimwa unyumba leo,Nina wasiwasi SanaππIla itakuwa kweli aiseππ
mwanamke kushabikia mpira ni hatari sana mkuu.ππNa kwa Hasira alizonazi saivi,si ajabu mwenzangu kunyimwa unyumba leo,Nina wasiwasi Sanaππ
Kutoka utopolo HQBado ,hamfiki mbali. Mtakwama kule North Africa. Sala zangu zipo pale pale.
ππ Endelea kusali mkuu.Bado ,hamfiki mbali. Mtakwama kule North Africa. Sala zangu zipo pale pale.