Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila itakuwa kweli aise😃😃Itakuwa ameenda kumpikia mumewe😂
Sala zako ni batili....Hapa nasali Simba wapigwe kipigo cha mbwa koko.
KapetaaaPenalt
Ipo ya mtoano then makundiHivi kuna mechi ingine tena ya mtoano au tunaingia kwenye makundi
Hii inaitwa semifinalsHivi kuna mechi ingine tena ya mtoano au tunaingia kwenye makundi
90+2+3'
Refa maliza mpiraaaaaaaa, au unataka tufunge la pili?
Bado ,hamfiki mbali. Mtakwama kule North Africa. Sala zangu zipo pale pale.Sala zako zimekuwa batili....
Simba nguvu moja 💪💪💪💪
Na kwa Hasira alizonazi saivi,si ajabu mwenzangu kunyimwa unyumba leo,Nina wasiwasi Sana😀😀Ila itakuwa kweli aise😃😃
mwanamke kushabikia mpira ni hatari sana mkuu.😂😂Na kwa Hasira alizonazi saivi,si ajabu mwenzangu kunyimwa unyumba leo,Nina wasiwasi Sana😀😀
Kutoka utopolo HQBado ,hamfiki mbali. Mtakwama kule North Africa. Sala zangu zipo pale pale.
😂😂 Endelea kusali mkuu.Bado ,hamfiki mbali. Mtakwama kule North Africa. Sala zangu zipo pale pale.