Uwanja wa New Jos | Ligi ya Mabingwa Afrika' Plateau United Vs Simba SC

Uwanja wa New Jos | Ligi ya Mabingwa Afrika' Plateau United Vs Simba SC

Plateau United wamechoka sasa, refa maliza mpiraaaa
 
99' Chama Kwake Morrisoooon anawekwa chini penati, refa anakataaa
 
90+11'

Naaaaaaaam mpira umekwishaaaa

Uwanja wa New Jos, ni Ligi ya Mabingwa Afrika, ambapo Simba wanaibuka kwa ushindi wa bao moja bila likifungwa na Claotus Chota Chama dakika ya 53'

FT; Plateau United 0-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom