Uwanja wa New Jos | Ligi ya Mabingwa Afrika' Plateau United Vs Simba SC

Uwanja wa New Jos | Ligi ya Mabingwa Afrika' Plateau United Vs Simba SC

Wamejaribu sana waliangalia mechi za mnyama wakaona kuna mtu anaitwa clotous chota chama, triple c, mwamba wa lusaka, ball dancer, Mara hawajakaaa sawa wakamuona kondeee booyyyyyy, huku na kule top scorer John Raphael bocco haramu, de captain kutazama langoni wanamuona the GOAT Tanzania one aish salum mwana wa manula...

Wakaamua waseme wanaumwa corona [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
😂😂😂😂😂
 
90+11'

Naaaaaaaam mpira umekwishaaaa uwanja wa New Jos Ligi ya Mabingwa Afrika Simba wanaibuka kwa ushindi wa bao moja bila likifungwa na Claotus Chota Chama dakika ya 53'

FT; Plateau United 0-1 Simba SC
Haaaa, usilete utani mkuu, ni lini Simba a.k.a Mnyero fc alikuwa bingwa wa Afrika..
 
Back
Top Bottom