Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukishinda mnasema tumehonga.Mlihonga nyie. Mkapewa group la vilaza. Ila hamtafika mbali. Rais wa CAF mliemhonga kafukuzwa.
Acha hizo bi mdangaPlateau let's go .Msituangushe.
😂😂😂😂😂Wamejaribu sana waliangalia mechi za mnyama wakaona kuna mtu anaitwa clotous chota chama, triple c, mwamba wa lusaka, ball dancer, Mara hawajakaaa sawa wakamuona kondeee booyyyyyy, huku na kule top scorer John Raphael bocco haramu, de captain kutazama langoni wanamuona the GOAT Tanzania one aish salum mwana wa manula...
Wakaamua waseme wanaumwa corona [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
..😂😂😂... Uto..Kwahiyo wakaamua kuvaa matambara ya yanga ili kuwatisha simba
Kuna pimbi mmoja wa jangwani alitia nuksi mapema mechi ya leo, alivaa jezi mbili ya yanga ikiwa ndani alafu plastic ikiwa njeKwahiyo wakaamua kuvaa matambara ya yanga ili kuwatisha simba
Haaaa, usilete utani mkuu, ni lini Simba a.k.a Mnyero fc alikuwa bingwa wa Afrika..90+11'
Naaaaaaaam mpira umekwishaaaa uwanja wa New Jos Ligi ya Mabingwa Afrika Simba wanaibuka kwa ushindi wa bao moja bila likifungwa na Claotus Chota Chama dakika ya 53'
FT; Plateau United 0-1 Simba SC
Mechi inyofuata ni kati ya PlatinumFC ya Zimbabwe na Cost du Sol ya Msumbiji.... Walicheza jana matokeo ni CDS 1 Platinum 2Bado ,hamfiki mbali. Mtakwama kule North Africa. Sala zangu zipo pale pale.
Bado ,hamfiki mbali. Mtakwama kule North Africa. Sala zangu zipo pale pale.
aiseee tatu tumeziona kakaSimba akipigwa chache ni tatu!
Amka ukojoeSimba akipigwa chache ni tatu!
Uzuri jezi zao zina ramani ya afrika kazi yao itakuwa rahisi kuhama nchiKuna pimbi mmoja wa jangwani alitia nuksi mapema mechi ya leo, alivaa jezi mbili ya yanga ikiwa ndani alafu plastic ikiwa nje
Nawaona vyura tu ka snura hii sura ya muuni haina kwere
Kuna sehemu uliyem quote kasema Simba ni Bingwa wa Afrika?Haaaa, usilete utani mkuu, ni lini Simba a.k.a Mnyero fc alikuwa bingwa wa Afrika..
Hebu litaje hilo group LA Vilaza lilikuwa na team zipi??Mlihonga nyie. Mkapewa group la vilaza. Ila hamtafika mbali. Rais wa CAF mliemhonga kafukuzwa.
Bi mdanga mwanga kweli huyoAcha hizo bi mdanga
Mkuu hawakutegemea,yaani wameumia kuliko plateau wenyeweKuna sehemu uliyem quote kasema Simba ni Bingwa wa Afrika?