Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya.
Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu za pembezoni mwa pitch na karibia na majukwaa.Manyasi yameota hovyo hovyo hata yakikatwa huwa yanakatwa shaghala baghala.
Hivi ni kwamba huu uwanja hauna meneja anayesimamia au vipi?? Pia pembezoni kuna mabonde mabonde na majukwaa ni machafu, tatizo ni nini?