KERO Uwanja wa Sokoine Mbeya hauna msimamizi, mbona mchafu sana?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

CKALU

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
262
Reaction score
238
Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya.

Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu za pembezoni mwa pitch na karibia na majukwaa.Manyasi yameota hovyo hovyo hata yakikatwa huwa yanakatwa shaghala baghala.

Hivi ni kwamba huu uwanja hauna meneja anayesimamia au vipi?? Pia pembezoni kuna mabonde mabonde na majukwaa ni machafu, tatizo ni nini?
 
Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya...
CCM hao mkuu kama viwanja tu vimewashinda kuviletea maendeleo itakuaje kwenye Mambo mengine.
 
Wakati mbeya city bado ipo ligi kuu meneja wao amechukua Sana tuzo za meneja Bora wa uwanja sijui imekuweje siku hiz
 
Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya.

Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu za pembezoni mwa pitch na karibia na majukwaa.Manyasi yameota hovyo hovyo hata yakikatwa huwa yanakatwa shaghala baghala.

Hivi ni kwamba huu uwanja hauna meneja anayesimamia au vipi?? Pia pembezoni kuna mabonde mabonde na majukwaa ni machafu, tatizo ni nini?
Picha?
 
Wakati mbeya city bado ipo ligi kuu meneja wao amechukua Sana tuzo za meneja Bora wa uwanja sijui imekuweje siku hiz
Wakati mbeya city bado ipo ligi kuu meneja wao amechukua Sana tuzo za meneja Bora wa uwanja sijui imekuweje siku hiz
Uwanja unahitaji marekebisho maana umekuwa kama shamba la nyasi za ng'ombe
 
Attachments

  • Screenshot_20241022-173943_Chrome.jpg
    Screenshot_20241022-173943_Chrome.jpg
    159.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241022-173931_Chrome.jpg
    Screenshot_20241022-173931_Chrome.jpg
    181.6 KB · Views: 7
Back
Top Bottom