CCM hao mkuu kama viwanja tu vimewashinda kuviletea maendeleo itakuaje kwenye Mambo mengine.Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya...
Picha?Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya.
Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu za pembezoni mwa pitch na karibia na majukwaa.Manyasi yameota hovyo hovyo hata yakikatwa huwa yanakatwa shaghala baghala.
Hivi ni kwamba huu uwanja hauna meneja anayesimamia au vipi?? Pia pembezoni kuna mabonde mabonde na majukwaa ni machafu, tatizo ni nini?
WanafeliCCM hao mkuu kama viwanja tu vimewashinda kuviletea maendeleo itakuaje kwenye Mambo mengine.
Wakati mbeya city bado ipo ligi kuu meneja wao amechukua Sana tuzo za meneja Bora wa uwanja sijui imekuweje siku hiz
Uwanja unahitaji marekebisho maana umekuwa kama shamba la nyasi za ng'ombeWakati mbeya city bado ipo ligi kuu meneja wao amechukua Sana tuzo za meneja Bora wa uwanja sijui imekuweje siku hiz