Kabisa mkuu, hawa wametangulia na baiskeli ya barafu, jua la February na March halitawaacha salama, kila mmoja atakuwa kwenye nafasi yake kipindi hicho.Endeleeni kubahatisha hayo ndiyo maisha yenu vyura ila muda mfupi ujao mtarudi kwenye nafasi yenu
Kikosi hiki Cha Sasa hakina ubora was kuchukua ubingwa ukilinganisha na Azam na Simba kwa Sasa ni upepo mzuri unapepea jangwani ukiambatana na bahatiYanga ndio timu iliyochukua ubingwa wa Tanzania mara nyingi
Yanga ndio timu iliyomfunga Simba mechi Yanga
Yanga ndio ya kwanza kuanzishwa kabla ya Simba
HahahaHapana, huu upepo utafikia mwisho tu.
Huu ndio ukweli ambao mashabiki wengi wa yanga hawataki kabisa kuukubali, kikosi kibovu kama hiki cha yanga kikichukua ubingwa itakuwa ni fedheha kubwa kabisa katika ligi kuu Tanzania Bara.Kikosi hiki Cha Sasa hakina ubora was kuchukua ubingwa ukilinganisha na Azam na Simba kwa Sasa ni upepo mzuri unapepea jangwani ukiambatana na bahati
Unazungumzia hiki kikosi cha Simba kilichofungwa na Mbao ?Kikosi hiki Cha Sasa hakina ubora was kuchukua ubingwa ukilinganisha na Azam na Simba kwa Sasa ni upepo mzuri unapepea jangwani ukiambatana na bahati
Yanga hawezi pata alama tatu mbele ya simba na azam, hapo lazima afungwe breki, hasa akikutana na Simba ata waweke magolikipa kumi mbele acheze mtu mmoja game ya raundi ya pili kichapo kiko pale pale.Yanga wana uwezo mkubwa wa kutumia chances wanazopata unlike Simba ambao hawatumii chances. Simba na Azam wasipoifunga Yanga, wasahau ubingwa kwasababu timu ndogo haziwezi kuifunga Yanga...ila mpira wa Yanga mbovu sana.
Mission ya Tifua Tifua imefeli, mipango yao imegoma, sasa tusubiri wafungie wachezaji wetu, hiyo yoote inafanyika ili kumpa wepesi mbumbumbu fc. Ila kwa sprit tuliyonayo kwa sasa, sidhani kama watafanikiwa. Tutagonga kila atakayejipendekeza kwetu. Tunalo benchi ka ufundi ambalo liko makini sana kusoma mapungufu ya mpinzani, ona Leo sub alizofanya mwalimu, hakika aliona Tz prison kasi yao ya kushambulia imepungua, maana waliamini mchezo wameumaliza, akaamua kumtoa beki na kumuingiza mshambuliaji hakika it was a brilliant substitute na matunda yake ni magoli mawili ya ushindi. Hongera Yanga Africa, Ila pongezi zaidi kwa bench zima LA ufundi, mko vizuri sanaHahahaha
Achana nao ,watakukondesha
Yanga hawezi pata alama tatu mbele ya simba na azam, hapo lazima afungwe breki, hasa akikutana na Simba ata waweke magolikipa kumi mbele acheze mtu mmoja game ya raundi ya pili kichapo kiko pale pale.Yanga wana uwezo mkubwa wa kutumia chances wanazopata unlike Simba ambao hawatumii chances. Simba na Azam wasipoifunga Yanga, wasahau ubingwa kwasababu timu ndogo haziwezi kuifunga Yanga...ila mpira wa Yanga mbovu sana.
Simba kufungwa na Mbao hakubadilishi maana na uhalisia kwamba Yanga wanna timu mbovu Quality ya wachezaji wa Yanga inaonekana japo matokea yapo upande wao kwa sasaUnazungumzia hiki kikosi cha Simba kilichofungwa na Mbao ?
Huo ubora unaupimaje ?
Sawa sawaMission ya Tifua Tifua imefeli, mipango yao imegoma, sasa tusubiri wafungie wachezaji wetu, hiyo yoote inafanyika ili kumpa wepesi mbumbumbu fc. Ila kwa sprit tuliyonayo kwa sasa, sidhani kama watafanikiwa. Tutagonga kila atakayejipendekeza kwetu. Tunalo benchi ka ufundi ambalo liko makini sana kusoma mapungufu ya mpinzani, ona Leo sub alizofanya mwalimu, hakika aliona Tz prison kasi yao ya kushambulia imepungua, maana waliamini mchezo wameumaliza, akaamua kumtoa beki na kumuingiza mshambuliaji hakika it was a brilliant substitute na matunda yake ni magoli mawili ya ushindi. Hongera Yanga Africa, Ila pongezi zaidi kwa bench zima LA ufundi, mko vizuri sana
Mmekaa siti ya dereva mnategemea tutafikaje tunakuenda?
Yanga ikijitadi itamaliza ligi ya 3
Wakubali wakatae wana kikosi dhaifu sana msimu huu, kinachowabeba ni bahati waliyonayo kipindi hiki nothing else.Simba kufungwa na Mbao hakubadilishi maana na uhalisia kwamba Yanga wanna timu mbovu Quality ya wachezaji wa Yanga inaonekana japo matokea yapo upande wao kwa sasa
Kumbe ukiamua unatumia akili yako vizuri enhe.Leo raha sana kwa upande wenu
POINT 3
GOLI 3
JUMA 3
TAREHE 3
Msisahau kuweka akiba ya maneno tafadhali.
Sawa sawa Mikia mtapata tabu sanaSimba kufungwa na Mbao hakubadilishi maana na uhalisia kwamba Yanga wanna timu mbovu Quality ya wachezaji wa Yanga inaonekana japo matokea yapo upande wao kwa sasa