Mission ya Tifua Tifua imefeli, mipango yao imegoma, sasa tusubiri wafungie wachezaji wetu, hiyo yoote inafanyika ili kumpa wepesi mbumbumbu fc. Ila kwa sprit tuliyonayo kwa sasa, sidhani kama watafanikiwa. Tutagonga kila atakayejipendekeza kwetu. Tunalo benchi ka ufundi ambalo liko makini sana kusoma mapungufu ya mpinzani, ona Leo sub alizofanya mwalimu, hakika aliona Tz prison kasi yao ya kushambulia imepungua, maana waliamini mchezo wameumaliza, akaamua kumtoa beki na kumuingiza mshambuliaji hakika it was a brilliant substitute na matunda yake ni magoli mawili ya ushindi. Hongera Yanga Africa, Ila pongezi zaidi kwa bench zima LA ufundi, mko vizuri sana