Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

Hii siyo bahati, mechi zote hizo iwe bahati?, hata tukifanya bahati basi itaendelea mpaka mwisho wa ligi
Ndio muda wenu huu wa kushangilia, bado kitambo kidogo mtaanza kutafutana hapa.
 
Bahati na upepo ndio vinavyowabeba ila si kitambo kidogo mtaanza kutafutana, amin amin nakuambia.
Tuombe uzima. Japo nina inani mtabaki kusingizia bahati tu kama ilivyokuwa leo.
 
Wakianza kutoka wataona ugumu wa ligi tff inawabeba kwa kuwapangia mechi nyingi uwanja wa taifa, haya sasa tuseme na huko mikoani.
Nguvu ya upepo inawabeba, ngoja Tanki liishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…