Uwanja wa Sokoine | Vodacom Premier League (VPL) Tanzania Prisons Vs Simba SC

Kwanini kila siku sisi Simba tu? Ivi haitokei timu nyengine ikaweza kutuchallenge kwenye ubingwa? Yani tunabeba ubingwa mpaka inaboa!
 
Na kwa kinachoendelea kwa sasa kwenye soka letu la bongo nikiziangalia timu shiriki ligi kuu, naiona simba ikichukua ubingwa kwa mara nyingine mbili.. kazi mnanyo majirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…