Uwanja wa Sokoine | Vodacom Premier League (VPL) Tanzania Prisons Vs Simba SC

Uwanja wa Sokoine | Vodacom Premier League (VPL) Tanzania Prisons Vs Simba SC

80' Ametoka Miraji Athumani na ameingia John Bocco upande wa Simba SC
 
Kagere anapiga Kichwa oooooh njeee, ilikuwa hatariiiii lango la Prisons

Simba SC wanakosa bao la wazi baada ya kichwa cha Maddie Kagere kutoka nje ya lango

Wakati huo golikipa Kisubi yupo chini, mwamuzi anamuonyesha kadi ya njano kwa kupoteza muda
 
Jeremia Juma anafumua shutiiiii, na lakini mpira unatoka nje na kuwa goal kick
 
90+'6

Kuelekea kumalizika kwa mtanange huu wa VPL uwanja wa Sokoine

Chuma anakwenda kwake Fraga, anapiga anababaza mchezaji wa Prisons na kutoka nje mpira

Wanamiliki Prisons sasa wanasogea eneo la Simba kwake Aziz anampasia Jumaaa njeee

Simba wanapiga pasi eneo la kati kwake, Kagere anapiga oooooh Kisubi anacheza maridadi kabisa
 
90+6'

Wakati wowote mpira utamalizika hapa uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya

Simba SC wanatarajiwa kutangaza ubingwa, kwani wanahitaji alama moja tu kufikisha alama 79 ambazo haziwezi kufikiwa na Yanga wala Azam FC

Ni furaha tele uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya

Naaaam Mpiraa umekwishaaaaaaa

Simba SC ni Machampion wa VPL, mara ya tatu mfululizo

FT, VPL; Tanzania Prisons 0-0 Simba SC

....Msimulizi wako Ghazwat....
 
Tukianza kuongea mnavyobebwa na marefa hamwezi kuficha sura zenu,utopolo mmebaki kwenye kulialia badala ya kubebwa na kupambana,kubebwa ilikuwa zamani mwaka huu kila mtu anakomaa
Simba bila msaada wa refa hawana tofauti na CCM bila msaada Wakurugenzi wa Wilaya, Jeshi la Polisi, Tume ya Uchaguzi na Waganga wa Kienyeji!
 
Tukianza kuongea mnavyobebwa na marefa hamwezi kuficha sura zenu,utopolo mmebaki kwenye kulialia badala ya kubebwa na kupambana,kubebwa ilikuwa zamani mwaka huu kila mtu anakomaa
Siyo vyema kuwajibu malalamiko fc de utopolo kwa kipindi hiki. Morrison kawachanganya, mkwasa kawachanganya, GSM wamewa changanya, molinga kawachanganya, mashabiki pia wamechanganyikiwa so tuwaonee huruma tu

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
huu ndo uwezo halisi wa nyau, sema refa akiweka mahaba ndo utaona wanatamba kushinda ila nyau bila refa ni weupe sana
Kwa hiyo simba akidroo tu basi refa kachezesha vizuri.. ila akishinda kabebwa! Dah aisee nyie kweli utopolo! Na nyie mkifungwa mmeonewa ila mkishinda refa kachezesha vizuri.. dah hawa jamaa zetu kwakweli wakapimwe mkojo😂
 
Simba bila msaada wa refa hawana tofauti na CCM bila msaada Wakurugenzi wa Wilaya, Jeshi la Polisi, Tume ya Uchaguzi na Waganga wa Kienyeji!
Sisi tumebeba ubingwa sasa nyie bebeni mimba. Nyinyi ambao hamkupata msaada si mngeshinda sasa
 
Lengo la kiongozinmmoja wa TIfuatifua limetima eti ilikuwa lazima simba ipate ubingwa mara 3 mfululizo kama Yanga.ameonesha dhahiri shahiri unazi undezi,imebebwa weee hadi kero .yana mwisho.pia yanga imwangalie bosi wao mmoja ni simba yule damudamu anawahujumu humohumo.
 
Kwa hiyo huyo kiongozi yeye ndo anaecheza uwanjani? Basi ungeshinda mechi zako tuone huyo kiongozi akunyang'anye point. Tatizo lako msimu mzima we unajiandaa kwa ajili ya mechi moja tu ya simba, unasahau kuna kagera sugar😀 unashinda mechi moja unadroo tatu kisha unalia umeonewa.
 
Back
Top Bottom