Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijaona sehemu umetwambia ile beki wa nyau fc kuunawa na refa kukaushaKagere anapiga kisiginoo kwake Ajibu, Ajibu anampasia Mirajiii, Miraji anapiga kichwa oooooh Kisubi anacheza, njeee
Sema Mabingwa wewe PanyaNyau anakimbizwa ka mtoto
bingwa ni refa kwa mechi hii sio nyauSema Mabingwa wewe Panya
SIMBA NGUVU MOJA DAIMA
Kwani kwenye ligi unagombania nini we Mkunungu?bingwa ni refa kwa mechi hii sio nyau
nigombee nini tena mkuu mie ligi nilimaliza march 8 kwa kutwaa mke baada ya kushona sare za maharusi na wapambeKwani kwenye ligi unagombania nini we Mkunungu?
Watakuwa utopolo wanafanya mazoezi ya kuiba kombe la ligiMiezi 11 nyuma nilinunua mbuzi wangu kwaajili ya kitoweo kusherehekea ubingwa endapo Simba Sports Club itabeba ubingwa msimu huu wa 2020.
Lakini cha kushangaza usiku wa jana kuamkia leo mbuzi hayupo.bandani!!!.
mimi sitaki ugomvi na mtu.ni nani kaiba mbuzi wangu?
Huyu kocha hata kupanga kikosi ni tatizoKusema kweli kikosi cha leo sio cha kuchukulia ubingwa mbele ya Prison. tukishinda itakua bahati tu. yaaani kocha kila siku atakują na kikosi kipya.
Sawa furahia soka kutoka kwa mabingwa wa nchi Simba sc.nigombee nini tena mkuu mie ligi nilimaliza march 8 kwa kutwaa mke baada ya kushona sare za maharusi na wapambe
Huyu kocha wetu siku ambazo mashabiki wa Simba tunakuwa tunategemea kitu Basi ndiyo siku ambazo anatupangia kikosi Cha pressure. Any way let wait and seeKusema kweli kikosi cha leo sio cha kuchukulia ubingwa mbele ya Prison. tukishinda itakua bahati tu. yaaani kocha kila siku atakują na kikosi kipya.
mkuu soka gani hapo timu dk 599 inakimbizwa sema nifurahie wajera jera wanavyo onesha uwezoSawa furahia soka kutoka kwa mabingwa wa nchi Simba sc.