Uwanja wa Sokoine | Vodacom Premier League (VPL) Tanzania Prisons Vs Simba SC

Uwanja wa Sokoine | Vodacom Premier League (VPL) Tanzania Prisons Vs Simba SC

Maandalizi ya ushindi wa leo kwa wajela jela
FB_IMG_15933356477552184.jpg
 
Miezi 11 nyuma nilinunua mbuzi wangu kwaajili ya kitoweo kusherehekea ubingwa endapo Simba Sports Club itabeba ubingwa msimu huu wa 2020.

Lakini cha kushangaza usiku wa jana kuamkia leo mbuzi hayupo.bandani!!!.
mimi sitaki ugomvi na mtu.ni nani kaiba mbuzi wangu?
 
Ajibu mwenye gundu kaanza leo,Mikia lazima achezee

Kusema kweli kikosi cha leo sio cha kuchukulia ubingwa mbele ya Prison. tukishinda itakua bahati tu. yaaani kocha kila siku atakują na kikosi kipya.
 
Wachezaji wakipasha misuli tayari kabla ya mtanange kuanza
FB_IMG_1593348743010.jpg
 
10' Mpira umeanza kwa kasi huku kila timu ikijaribu kupenga lango la wapinzani

Tanzania Prisons 0-0 Simba SC
 
Tanzania Prisons nurusra wapate bao kufuatia mpira wa kona, kama si umahiri wa golikipa Manula

Ilikuwa hatariiiii lango la Simba
 
Back
Top Bottom