Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Sisi tunaingia uwanjani kupambana hatutaki matokeo mepesi mepesi....tukifungwa tumekufa kihalali huwa tunalalamika kwa sababu marefa wengi ni wanachama wa mikia fc
Utaugua pressure bure, mlishindwa nini kufix game zenu na Stand Utd na ile ya Coastal? vyura bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi game ni fixed kabisa hata kichaa anaweza ng'amua hilo....

Haya mapambano ya timu za mabeberu kupambana na timu ya wananchi sidhani kama zitazaa matunda.

Sisi ni wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Azam hii inatoa sare na Alliance Chamazi inafungwa na Prisons uulitegemea kabisa amsimamishe Mnyama Hahaha
 
kabumbu mbovu, bora kutizama X kuliko hili hili kabumbu la kibwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…