GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
Bakhresa hana njaa kama ya omba omba fcAzam sio dhaifu..wanatekeleza maelezo waliopewa na waajiri wao,wanalinda ugali wao mkuu,vumilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bakhresa hana njaa kama ya omba omba fcAzam sio dhaifu..wanatekeleza maelezo waliopewa na waajiri wao,wanalinda ugali wao mkuu,vumilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Azam sio dhaifu..wanatekeleza maelezo waliopewa na waajiri wao,wanalinda ugali wao mkuu,vumilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaugua pressure bure, mlishindwa nini kufix game zenu na Stand Utd na ile ya Coastal? vyura bhana
mnafarijiana tuInauma Sana mkuu,kama ndivyo basi mpira WA bongo siyo wa kushabikia,maana unawweza pata vidonda vya tumbo!!!
Inauma Sana mkuu,kama ndivyo basi mpira WA bongo siyo wa kushabikia,maana unawweza pata vidonda vya tumbo!!!
Mkuu Azam hii inatoa sare na Alliance Chamazi inafungwa na Prisons uulitegemea kabisa amsimamishe Mnyama HahahaHizi game ni fixed kabisa hata kichaa anaweza ng'amua hilo....
Haya mapambano ya timu za mabeberu kupambana na timu ya wananchi sidhani kama zitazaa matunda.
Sisi ni wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Atusamehe tu kwakweli tulimkosea sanaTupo wengi wa kusamehewa na hili jamaa
Visingizio fcSisi tunaingia uwanjani kupambana hatutaki matokeo mepesi mepesi....tukifungwa tumekufa kihalali huwa tunalalamika kwa sababu marefa wengi ni wanachama wa mikia fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote hiyo ni mipango ya kuisafishia simba nafasi pale kileleniMkuu Azam hii inatoa sare na Alliance Chamazi inafungwa na Prisons uulitegemea kabisa amsimamishe Mnyama Hahaha
Hakikaakabumbu mbovu, bora kutizama X kuliko hili hili kabumbu la kibwege
Utapata tabu sana wewe omba omba fckabumbu mbovu, bora kutizama X kuliko hili hili kabumbu la kibwege
ile mechi ya simba na yangu ya tare 16 unaiweka kwenye kundi gani mkuuHizi game ni fixed kabisa hata kichaa anaweza ng'amua hilo....
Haya mapambano ya timu za mabeberu kupambana na timu ya wananchi sidhani kama zitazaa matunda.
Sisi ni wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
PointDah,Simba ya sasa haina ubora wowote but wapinzan ni dhaifu Sana!
Sisi tunaingia uwanjani kupambana hatutaki matokeo mepesi mepesi....tukifungwa tumekufa kihalali huwa tunalalamika kwa sababu marefa wengi ni wanachama wa mikia fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Una lakusema bado?
Sisi tunaingia uwanjani kupambana hatutaki matokeo mepesi mepesi....tukifungwa tumekufa kihalali huwa tunalalamika kwa sababu marefa wengi ni wanachama wa mikia fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Atasema nini naona analia lia tu kama demu mara marefa ni wa simba mara mechi imeuzwa duuhUna lakusema bado?