Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Azam ni Tawi tiifu sana kwa Mikia zaidi ya tawi lao la mpira pesa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani nani aliyewatuma Mumshushe Daraja TOTO AFRICA?
So mulikuwa munayo nafasi ya Kumnusuru mtoto wenu lakini Mukadhani Mukimfunga Mutamkomoa Simba! Sasa zikowapi Points 6 mulizokuwa munajikulia Kila Msimu?
Na Mulikuwa muna uhakika Simba anaacha points kwa TOTO pale CCM Kirumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…