[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] insta babe wangu ukuje huku umtake radhi Jimmie Gatsby
Ntarudi rasmi rafikihahaha kwel asee siku hizi mambo yamekuwa menghahaha basi saaaaaaaafi kumbe wote tupo kwa mnyama
Sent using Jamii Forums mobile app
mnahitaji maombi insta babe [emoji23][emoji23]Hahahah sanaa tumemshinda mpaka shetani mwenyewe, mana kila mtu mvua mvua huku kwetu hakuna ni jua tu
List fupiiii...Kwani nyinyi Ndala First Eleven wenu wote wakiwemo Papy Makambo na Papy Tshitshimbi ni wazaliwa waliotokea Nachingwea?
hahah.... nimeshamtaka radhi ...leo ndio nimeamini kuambiwa unashabikia gongo wazi inauma kuliko tusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] insta babe wangu ukuje huku umtake radhi Jimmie Gatsby
Hayo ya maombi ebu ngoja kwanza
Watu wana on target 6 halafu unasema wameuza game? mashabiki wa vyura punguzeni hasira tunakuja kuchukua nafasi yetu hapo juuView attachment 1029370
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vyura vyuranihahah.... nimeshamtaka radhi ...leo ndio nimeamini kuambiwa unashabikia gongo wazi inauma kuliko tusi
Sent using Jamii Forums mobile app
itakuwa vizuri rafiki... me mwenyew nilipotea kidogo ila now nimerud
hahah.... nimeshamtaka radhi ...leo ndio nimeamini kuambiwa unashabikia gongo wazi inauma kuliko tusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay jf ni home rafiki panaitwa mtakujaitakuwa vizuri rafiki... me mwenyew nilipotea kidogo ila now nimerud
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa me huwa nashangaa sana watu wanaoshabikia gongo waz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani Wakicheza manyau na Gongowazi ntashabikia manyau wakicheza misukule na hayo mambute ntashabikia misukule....mpk karata zenye rangi ya njano na blui ntachagua blue
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umeongea utumbo? “walikubali kufungwa ili mapato yawe mengi?” wakati tayari mapato yalishaingia. Na kufungwa kwa Yanga dakika ile kuliwaamsha vipi mashabiki wa simba kutoka huko kuja uwanjani kuongeza mapato?Uzuri ni kwamba hata Yanga waliuza mechi, ili mashabiki wa simba wajae uwanjani, mana ninavyowafahamu Yanga wasingefungwa lile goli jepesi kiasi kile.
Walikubali wafungwe ili mapato yawe mengi, mana walishajua kua bila kufungwa wao mashabiki wa simba wasingeingia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaahaaa....wamechelewa sana aseehh!team bakuli hapana kwa kweli kwanza hawavutiii!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]naonaga kama wamevurugwaa vileekweli kabisa me huwa nashangaa sana watu wanaoshabikia gongo waz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ya shabiki namba moja wa Simba..imefungwa goli tatu kwa moja na Simba..bonge la kichwa cha habari...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaahaaa....wamechelewa sana aseehh!team bakuli hapana kwa kweli kwanza hawavutiii!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]naonaga kama wamevurugwaa vilee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nkimbie miye