Abeee
Hahahaaa. Nacheka tu leo.Itakua umeme umekatika huko kwake baada ya Kagere kuanza kutikisa nyavuπππ
Hali ilikuwa mbaya eee?Huu mpira uishe tu
πππHahaha hizi ndio zake tumeshazizoea
Ahsante Mwl KASHASHA. πππNa mpira umekwishaaaaaaaaaa
π³π³π³ Swahibaa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ukishajua matokeo raha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ
πππ Nakuona nakuona
Kuteseka lazima Mtani na ndio sababu wakajisemea Wahenga "adui muombee njaa"
Hahahaaa. Nimekuja Kaka.Hivi Hutu Shadeeya Dada wa [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] yupo wapi?
Mchana alikuja kwa kasi ya ajabu kama Jaguar lakini sasahivi kawa Mdogo kama Piriton ?
Haina haja ya Kujipiga Ban njoo tu Shadeeya utupongeze japo pongezi ya Kinafiki tutaipokea tu [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu sio SimbaUzi kutoka kwa mzalendo anaeitakia mema ligi kuu ya tanzania bara asipuuzwe
Game ya Azam vs Simba ichunguzwe - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sikumbukiHahahaaa.
Nini kinaendelea kwani? [emoji12][emoji12]
Hahahaa. Nimecheka kwa sauti Mtani.
Yabidi Mashujaa na Mbao muende nao huko. πππ
πππ Kama hivi nimekuja bana.
Hongereni ππππ.
Hahahaaa. Naona unakataa kwenda na wababe wenu Mtani.Hao wachawi kule wanakufa mapema, maana uchawi hauvuki mipaka ya nchi.
Ila Azam ya msimu huu hamna kitu pale yupo kama mgonjwa mahututi tuKama nilivyokwambia, kazi tuliimaliza mapema tu.
Ila Azam ya msimu huu hamna kitu pale yupo kama mgonjwa mahututi tu