Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Hivi Hutu Shadeeya Dada wa [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] yupo wapi?

Mchana alikuja kwa kasi ya ajabu kama Jaguar lakini sasahivi kawa Mdogo kama Piriton ?

Haina haja ya Kujipiga Ban njoo tu Shadeeya utupongeze japo pongezi ya Kinafiki tutaipokea tu [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Nimekuja Kaka.

Hongereni. 👏👏
 
Back
Top Bottom