Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #61
Kama ingekua ni rahisi hvyo kushinda kusengua na haja ya ligi kuchezwa..subiri uone kina lipuli watakavyo wafurahishaKuna wakati Simba ilikuwa hata akishinda mechi zake zote anakuwa na point 5 nyuma ya Yanga,lakini Leo Simba akishinda viporo vyake vyote atampita Yanga point 5.Maisha yanaenda kasi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuuUje uandike tena baada ya game kwisha na mnyama kuondoka na a lama zote tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bakuli FC ubingwa mtausikia tu hakuna timu pale kikundi Cha kukusanya michango
Mkuu unaliangusha jina la brave
Mkuu unaliangusha jina la brave
Unashabikiaje wagogo wa jangwani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siri ya mafanikio ni kikosi cha bilioni moja ShadeeyaWacha weeee. Nakuona mapeeema ushatia maguu.
Nini siri ya mafanikio?
Hahahaaaa. Nauliza tu ndio hiki hiki kiliwahi kucheza na mashujaa? ππ
Watatulia tu kwa kosi lile mkuu
Nishamuuliza π π π π
Mzee ni hesabu tu nilipigaKama ingekua ni rahisi hvyo kushinda kusengua na haja ya ligi kuchezwa..subiri uone kina lipuli watakavyo wafurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]Swahiba naomba tu nikutaarifu maombi yako ya Leo yamekataliwa jaribu Tena siku nyingineWACHENI KUPANICK WATANI NDIO UTANI HUO.MAANA WENGINE MNAKARIBIA KUMWAGA POVU LA MABLANKETI KISA UZI KAANZISHA MTU WA TIMU YA WANANCHI. LOL.
MWISHO WA SIKU DKK 90 NDIO ZINAONGEA.
"HUU MCHEZO AUHITAJI HASIRA"
Watoto wale hawana issue, halafu kombe lenyewe mnashindania na vitimu vya daraja la pili!!!Hahahaaaa. Nauliza tu ndio hiki hiki kiliwahi kucheza na mashujaa? ππ
Mashujaa Mambo ya mwaka Jana unayaleta 2019Nishamuuliza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Uje usaidiane naye kujibu