Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
- #61
Kama ingekua ni rahisi hvyo kushinda kusengua na haja ya ligi kuchezwa..subiri uone kina lipuli watakavyo wafurahishaKuna wakati Simba ilikuwa hata akishinda mechi zake zote anakuwa na point 5 nyuma ya Yanga,lakini Leo Simba akishinda viporo vyake vyote atampita Yanga point 5.Maisha yanaenda kasi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app