Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

haha mtani sisi hatuna mbwembwe siku hizi zetu ni kimoja tu kama kama cha nguruwe, lakini watoto kibao.
Hahahaaa. Mmekuwa ka wale Wanaume ninaowasikiaga huku wa huko Jijini. πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ

Haya Mtani kila la kheri.
 
Speaking of tanesco..maeneo ya mbezi washafanya yao,,hapa tuandae magenarator tu
Hapa naomba sana TANESCO wasikate umeme pande hizo ili uweze kukaa muda wote wa dk 90 ukishudia Medy Kagre akifumba jicho moja baada ya kua ameshacheka na nyavu, hapo bado share ya kina Okwi na Boko

Wasiwasi wangu ni kuhusu wewe pressure iskupande tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa naomba sana TANESCO wasikate umeme pande hizo ili uweze kukaa muda wote wa dk 90 ukishudia Medy Kagre akifumba jicho moja baada ya kua ameshacheka na nyavu, hapo bado share ya kina Okwi na Boko

Wasiwasi wangu ni kuhusu wewe pressure iskupande tu
Yaani leo wauwache tu huo umeme na mie nifaidi hasa pale itakapokuwa kinyume chake.
 
Hahahaaa. Mmekuwa ka wale Wanaume ninaowasikiaga huku wa huko Jijini. πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ

Haya Mtani kila la kheri.
Mwenge hauluki kijiji mtani ni zamu ya lamba lamba kutoa; aya mtani wacha niingie masjid enda omba baraka za allah
 
Huu ni Uchokozi wa Wazi kabisa! πŸ™πŸ™

Sasa mambo yakiharibika Nitaukimbiaje huu Uzi na Kudai sijauona wakati umeshanitag?

Punguza uchokozi
Hahaaa. Usijali bana Mpira una matokeo matatu.

Pia waeza chimba mazima au ukapotezea tu quote za watu kama anavyofanyaga Mtoto halali na hela yaani mambo yakiharibika huwa namtag, namquote hata hanijibu. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Back
Top Bottom