Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Mmekuwa ka wale Wanaume ninaowasikiaga huku wa huko Jijini. πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈhaha mtani sisi hatuna mbwembwe siku hizi zetu ni kimoja tu kama kama cha nguruwe, lakini watoto kibao.
Haya Mtani kila la kheri.