Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
[emoji16]Leo ni full networkSIMU HAZIKUWA NA MTANDAO. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16]Leo ni full networkSIMU HAZIKUWA NA MTANDAO. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Hahahaaa. Niko Azam leo.Itakuaje kinyume tena banaa!? Ushauri wa bure leo usishabikie Azam bora useme huna timu
Kwenye zile mechi za Khamsa Khamsa
😀😀😀😀
Hata CAF hawatakubali..vitimu vidogo vifuzu..watapoteza mapato ya TVKibaya zaidi mtani tutafuzu robo fainali sisi na j-soura, tuliokuwa hatupewi nafasi
Kwangu imeanza kusua sua. 😅😅😅😅😅
Pole sanaAdmins Bridger , Active , Cookie , Fang & JamiiForums naomba mubadilishe Title ya Huu uzi kwani umekashifu jina la Timu, Hakuna timu inayoitwa MIKIA.
Tukumbuke kuwa Simba SC ndiyo timu pekee inayopeperusha Bendera ya Taifa kwenye Mashindano ya Mabingwa wa Afrika.
Izime kabisaKwangu imeanza kusua sua. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mbumbumbu fc bana kila kitu mnacomplicateAdmins Bridger , Active , Cookie , Fang & JamiiForums naomba mubadilishe Title ya Huu uzi kwani umekashifu jina la Timu, Hakuna timu inayoitwa MIKIA.
Tukumbuke kuwa Simba SC ndiyo timu pekee inayopeperusha Bendera ya Taifa kwenye Mashindano ya Mabingwa wa Afrika.
Jamaani. 🙈🙈🙈
Endelea kuchat itaji rechargeJamaani. [emoji85][emoji85][emoji85]
Iko njiani hapa. [emoji28][emoji28]
Haipeperushi bendera ya Taifa..wakati first eleven mamluki..ndio maana wimbo wa Taifa haupigwi...Admins Bridger , Active , Cookie , Fang & JamiiForums naomba mubadilishe Title ya Huu uzi kwani umekashifu jina la Timu, Hakuna timu inayoitwa MIKIA.
Tukumbuke kuwa Simba SC ndiyo timu pekee inayopeperusha Bendera ya Taifa kwenye Mashindano ya Mabingwa wa Afrika.
Unanichekesha ujue. 😀😀😀
2bilaUnanichekesha ujue. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivyo mnashinda ngapi leo?
Kila la kheri Mtani. Japo 90 minutes ndio zitaongea.Hahaha, sisi sasa hivi ni kazi kazi, hao Azam watakufa kama alivyokufa Mwarabu na mshenga wake.