Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Admins Bridger , Active , Cookie , Fang & JamiiForums naomba mubadilishe Title ya Huu uzi kwani umekashifu jina la Timu, Hakuna timu inayoitwa MIKIA.

Tukumbuke kuwa Simba SC ndiyo timu pekee inayopeperusha Bendera ya Taifa kwenye Mashindano ya Mabingwa wa Afrika.
Haipeperushi bendera ya Taifa..wakati first eleven mamluki..ndio maana wimbo wa Taifa haupigwi...
 
Back
Top Bottom