Natunza hii kauli Mtoto.
Haipeperushi bendera ya Taifa..wakati first eleven mamluki..ndio maana wimbo wa Taifa haupigwi...
Kila la kheri Mtani. Japo 90 minutes ndio zitaongea.
Nakutegemea kwa Updates. π
Kwa Thread ya Updates, hukutakiwa kuweka heading kama hiyo, hayo ungeweza kuyaweka kwenye comments.
Natunza hii kauli Mtoto.
Duuh! Sawa Mtani tusubiri 16:00hrs ifike tuone uyasemayo.Asante Mtani, 90! Wataomba mpira uishe dakika ya 64 tu, maana watakuwa wamebugizwa tayari.
Usijali. Kesho asubuhi tu ntakuwepo humu kuwapa mrejeshoUkishaitunza usisahau kuiletea Mrejesho ππ
Wapo job milango imefungwa. π
Duuh! Sawa Mtani tusubiri 16:00hrs ifike tuone uyasemayo.
Wana utajiri gani hao?
Azam imeshushiwa full mkoko kifungwa ni suala la muda tu. Zahera aandae utetezi maana yeye anaumia kuliko AzamKaka zangu OKW BOBAN SUNZU , King Ngwaba na Sapta Sapta nawasalimia ndugu yenu.
(Msinizodoe jamaani nawakumbusha tu kuwa leo kuna mechi) ππ
Wazee wa fitna hahaha mnanunua mechi mmeona haitoshi sasa mnanunua hadi ma modsTeh teh teh teh teh teh [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23] Uzi umebadilishwa Jina hata kama Hamupendi!
CC: hazard cfc
Shadeeya