Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #161
Mods mnatupangia hadi mada za kupost...huo ni uzi wakinazi na ushabiki kulikua hakuna haja ya kuubadilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Upande uliochagua ni wa wanyonge huo ujue Shadeeya ,hebu njoo ujiunge na chama la washindi hakika hautajutia😛😛😛Hahahaaa. Niko Azam leo.
Azam=Tawi dogo la simba.hivyo point 3 tunajichukilia kiulaini, fitna bin fitnani.
hakuna mkate mgumu mbele ya chai; Leo tunawalambisha vizuri tu ice cream zao
Kituo kinachofuata ni bakharesa! Kwa sauti ya mwendokasi, time will tell usikimbie tubaki hapa hapaHistoria inaonyesha we we in underdog kwa Azam fc. Na Leo unanyukwa kama mapinduzi cup, au umesahau mkuu