Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Kosi la mauji la azam

Atta karudii...ila ataanzia bench akiwasoma mikia
Screenshot_20190222-145123.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia inaonyesha we we in underdog kwa Azam fc. Na Leo unanyukwa kama mapinduzi cup, au umesahau mkuu
Kituo kinachofuata ni bakharesa! Kwa sauti ya mwendokasi, time will tell usikimbie tubaki hapa hapa
 
Aman iwe juu yenu wakuu

Tunaomba update huko mlioko dar kwa mkapa

Azam piga hao bi Hindu fc shenz zao kabisa

Dakika ya ngap na nan ni nan? Tujuzen


LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom