Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Naona kama kuna hujuma flani wakati simba ikiwa inacheza na wananchi wakiwa wanafatilia timu yao kupitia runinga gafla tanesco wanafanya yao.

mwanzo nilidhani nikawaida ila mara kama ya 4 sasa mchezo uo unafanyika tena alafu wanarudishatu baada ya mpira kwisha.

nitofauti na yanga wanapocheza hawakati hata kidogo. Mchezo huu ni mchafu sana tunaomba waziri husika kufatilia jambo hili.
 
Back
Top Bottom