Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,303
- 7,629
Kama mlivyotuuzia ya kwenu juzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mlivyotuuzia ya kwenu juzi
Mbona Azam wapo vizuri tu Mkuu
Mbona Azam wapo vizuri tu Mkuu
😁😁😂😁😁Unaangalia marudio mkuu...mpira wanaochezewa azam hata kiluvya fc hawezi chezewa hvyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo unayoangalia wewe ni mechi kati ya manchester united vs njombe mji,Unaangalia marudio mkuu...mpira wanaochezewa azam hata kiluvya fc hawezi chezewa hvyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah, hivi hakuna uwezekano tukaomba kucheza ligi ya Congo?
Angalau AS Vita na TP Mazembe watupe changamoto.
Epl wanatuhitaji kule kwa ajili ya kuchangamsha ligi tupo kwenye mchakatoDah, hivi hakuna uwezekano tukaomba kucheza ligi ya Congo?
Angalau AS Vita na TP Mazembe watupe changamoto.
Dada akee upoooDuuh! Sawa Mtani tusubiri 16:00hrs ifike tuone uyasemayo.
Dah, hivi hakuna uwezekano tukaomba kucheza ligi ya Congo?
Angalau AS Vita na TP Mazembe watupe changamoto.
Anakuchora tu hapo anapita kimya kimya Shadeeya tokea basiDada akee upooo
Kuna wahuni wetu mkoa huko..subiri utawafikia tu achana na hawa wala chips zege wa dar
Sent using Jamii Forums mobile app