Hapana mkuu ile free kick ilipigwa kiufundi Sana Manula hana lawama pale
Daaah vyura wametoka kweny madimbwi kelele zake Sasa ni hatarVyura wamefufuka... na tumalize wote humu msikimbie
Wewe ni me au ke!! Mbona una visingizio vingi sana.Simba pamoja na kubebwa na refa bado hakuna kitu, timu mbovu sana hii